Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Kwann mkuu? Hutaki maombi ya mida mrefu au?Jamani...embu tuache kumtania Mungu kiasi hicho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann mkuu? Hutaki maombi ya mida mrefu au?Jamani...embu tuache kumtania Mungu kiasi hicho.
Ulishasoma habari ya gideon alipokua anachagua watu wa kwenda kupigana vita angalia mchujo alioufanya ni Mungu huyu huyu ndo aliyemwambia watu ni weni awapunguzeKwa kawaida kabisa Mungu hutumia mtu yeyote amtakae katika kufikisha ujumbe wake.
Uzi una sharti la "mwenye degree" Kwa maana ya kwamba hilo sharti ni la mwenye "maono".
Labda kungekuwa na ufafanuzi kamili ungeeleweka hata kama ungesema unakusanya team ya kukosoa wahubiri wasio na degree yeyote ungeeleweka tu.
Ndo nashangaa yaani kuomba imekua ni jambo la ajabuKwann mkuu? Hutaki maombi ya mida mrefu au?
Mimi ningeku join mkuu tena bila malipo ni vile tu siku hiz maisha yalishanivuruga nikatupilia mbali wokovu ila nilikua nakiwasha sana enzi zangu neema ya mungu ilikua sana upande wanguNdo nashangaa yaani kuomba imekua ni jambo la ajabu
Gideon alikuwa na jeshi la kutumia upanga, vivyo hivyo na adui zao walitumia upanga.Ulishasoma habari ya gideon alipokua anachagua watu wa kwenda kupigana vita angalia mchujo alioufanya ni Mungu huyu huyu ndo aliyemwambia watu ni weni awapunguze
Yaani Niko busyTayana-wog ,Donatila ,vipi mliishapata wa Adam wenu?
Nikaangalia anayeweza kubeba mzigo wa maombi nikaona una qualify mama mtumishi 😅Yaani Niko busy
Mpk nakosa muda wa kuingia huku🤣
Nilishapata
Halooooo🤣🤣👌👌👌nipo hapaNikaangalia anayeweza kubeba mzigo wa maombi nikaona una qualify mama mtumishi 😅
Walikuwepo wasomi kama kina Dr. Luka na pauloWale wanafunzi wa Yesu walikuwaga na degree hivi[emoji848]?
Eeee Mungu mwaka haujaisha huu nione mwanao nibadilike hizi nafasi ilibidi nizipate mimi ili niwakomboe wengine kama huyu chaneeeKama kisemavyo-kichwa cha habari hapo juu
Majukumu yake ni kama yafuatayo
ELIMU
- Kuomba kwa mda mrefu na kwa mzigo kwa ajili ya kutatua changamoto za watu wengine
- Kushauri beneficiary (wahitaji/wanaoombewa) kwenye changamoto zao wanazokutana nazo
- Kushirikiana na beneficiary (wahitaji/wanaoombewa) katika miradi yao
- Kufanya research juu ya jumbe tunazopata kwenye kuombea watu
Bachelor degree na kuendelea ya course yeyote ile
NOTE: uwe unaishi Dar es Salaam na uwe huna kazi na uwe tayari kuomba kwa mda mrefu sana.
Usije dm tafadhali kwa aliyekua tayari anione kwenye email ifuatayo
bibletossup@gmail
Imeandikwa wapi nikasome ?Walikuwepo wasomi kama kina Dr. Luka na paulo
Mashetani na waabudu mashetani humu yapo mengi tu wala wasikurudishe nyuma wala kukuvunja moyo. Mungu bado amejisazia watu maelfu wenye shauku ya kumtafuta katika roho na kweli.Kuomba mda mrefu ni mzaha hiki ni kituko cha mwaka
Kusema natafuta watu wa kuomba mda mrefu ni kosa aiseee 😂😂😂😂😂
Kweli shetani yuko kazini
Kwingine sijaona shidaKama kisemavyo-kichwa cha habari hapo juu
Majukumu yake ni kama yafuatayo
ELIMU
- Kuomba kwa mda mrefu na kwa mzigo kwa ajili ya kutatua changamoto za watu wengine
- Kushauri beneficiary (wahitaji/wanaoombewa) kwenye changamoto zao wanazokutana nazo
- Kushirikiana na beneficiary (wahitaji/wanaoombewa) katika miradi yao
- Kufanya research juu ya jumbe tunazopata kwenye kuombea watu
Bachelor degree na kuendelea ya course yeyote ile
NOTE: uwe unaishi Dar es Salaam na uwe huna kazi na uwe tayari kuomba kwa mda mrefu sana.
Usije dm tafadhali kwa aliyekua tayari anione kwenye email ifuatayo
bibletossup@gmail
Tuliaa mpendwaaa🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dunia simama nishuke, nataka kuchimba dawa.
I think hivyo vigezo ndo tatizo!Kuombea watu ndo kumtania Mungu