Natafuta mtu atakayeshirikiana na mimi kwenye kazi ya maombi ya kuombea watu

Natafuta mtu atakayeshirikiana na mimi kwenye kazi ya maombi ya kuombea watu

Mkuu, kwa nini umeweka kiwango cha elimu ilhali maombi hayahitaji hivyo vitu? Msingi wq swali ni kuwa waombaji wapo ila wengine hawana hiyo elimu iliyowekwa
Yes yes
Na kuomba it's not a professional thing.
Ni Neema ya Mungu tu
 
Ulishasoma habari ya gideon alipokua anachagua watu wa kwenda kupigana vita angalia mchujo alioufanya ni Mungu huyu huyu ndo aliyemwambia watu ni weni awapunguze
Yes
Ila natamani kujua,wewe kwann umeweka hicho kigezo
 
Mashetani na waabudu mashetani humu yapo mengi tu wala wasikurudishe nyuma wala kukuvunja moyo. Mungu bado amejisazia watu maelfu wenye shauku ya kumtafuta katika roho na kweli.
Ni kweli ndugu
Ila vigezo,mi natamani tu kujua kwann,km Cha elimu
Kwingine Sina tatizo

Na Nina fit koteee
 
Mimi ningeku join mkuu tena bila malipo ni vile tu siku hiz maisha yalishanivuruga nikatupilia mbali wokovu ila nilikua nakiwasha sana enzi zangu neema ya mungu ilikua sana upande wangu
Jmn ,naomba urudi , uendelee kukiwasha, mavuno ni mengi watenda kazi ni wachache....usitupilie mbali wokovu bana
 
Kama kisemavyo-kichwa cha habari hapo juu
Majukumu yake ni kama yafuatayo
  • Kuomba kwa mda mrefu na kwa mzigo kwa ajili ya kutatua changamoto za watu wengine
  • Kushauri beneficiary (wahitaji/wanaoombewa) kwenye changamoto zao wanazokutana nazo
  • Kushirikiana na beneficiary (wahitaji/wanaoombewa) katika miradi yao
  • Kufanya research juu ya jumbe tunazopata kwenye kuombea watu
ELIMU
Bachelor degree na kuendelea ya course yeyote ile

NOTE: uwe unaishi Dar es Salaam na uwe huna kazi na uwe tayari kuomba kwa mda mrefu sana.
Usije dm tafadhali kwa aliyekua tayari anione kwenye email ifuatayo
bibletossup@gmail
Wewe dogo kama nimekujua hivi.
 
Kila kazi ina-masharti
Kazi isiyokua na masharti hiyo siyo kazi
Ss hapa masharti yanatakiwa kwanza utii wa neno la Mungu na sauti yake Ili kupewa mikakati ya kutekeleza kazi, sio vigezo km vya elim ndugu!
Hapo mi tukubali,kutokubaliana!
 
Sasa huo utaalamu atafanyaje kwa kuwa na bachelor 'yoyote'? Mtu ana bachelor ya civil engineering in railways construction inahusiana nini na maombi?
[emoji16][emoji16], baada angesema waliosomea teorojia Jordan au sauti, ye yoyote, mimecheka kwa sauti.
 
Back
Top Bottom