Natafuta mtu mwenye asili ya Kihindi kumuajiri au kufanya naye biashara

Mkuu wazoefu wa biashara wanasema ni heri ufanye kazi na watu unao weza kuwabadilisha muda wowote ila sio kutoa hisa
Kumiliki biashara moja watu wawili au zaidi ni kuhatarisha biashara yako/yenu
Ubia huu nina amani kufanya na muhindi anaejielewa ambao wengi wapo committed na utafutaji sisi hela ndogo tu ukipata na ukichaa unaanza hapo hapo
 

Unakosea mkuu,, kusema biashara mateso kama wewe mwenye biashara hutaki kuteseka nani sasa ateseke kwa ajiri yako??? Kama unapenda bata nenda tu katumie hizo hela kwenye hiyo bata unayotaka taka
 
Msichana wa kichanga umesema unawazia kumuajiri? Ila hivi kweli kwa biashara ya 70 mil umuajiri mhindi? Faida yote utamlipa mshahara, yaani usijitetee wala nini, hadi hapo naona huwezi biashara kabisa wewe, maana huwezi management ya biashara, na kama huwezi usimamizi jua hakuna biashara itakuwa, usimamizi ndio kigezo kikubwa sana kwa biashara kukua, kumtegemea mtu asimamie, tayari ni dalili 99% ya kufeli, capital sio issue, watu hawajui tu kwanini biashara zinakufa, capital ziko sana tu, tatizo unasimamia vipi hadi biashara yako ikue, kuna ushindani, kodi, kudhibiti uwizi, kudhibiti matumizi yasio ya lazima kwenye biashara yako na kuijua vema biashara yako..
Kila la kheri
 
Utatimua wangapi huku wanakuibia wewe hujui

Kumpata mtu mwaminifu ni bahati tu,, kwahiyo huwezi ukampata mtu mwaminifu bila kumpa nafasi ya kufanya kazi kama vipi tutafute watu kama sisi tuliopigika kimaisha lakini pia uendeshaji wa biashara na wafanyakazi unatakiwa utumie saikolojia vizuri kumtawala huyo mfanyakazi, sio yeye ndio akutawale kisaikolojia hata ukipata huyo muhindi akijua kucheza na akili yako atakupiga tu
 
Mkuu kuhusu ubia h
Ubia huu nina amani kufanya na muhindi anaejielewa ambao wengi wapo committed na utafutaji sisi hela ndogo tu ukipata na ukichaa unaanza hapo hapo
Mkuu kuhusu ubia hili sio wazo zuri.. mimi sio mfanya biashara lakini elimu ya biashara naijua kiasi, ubia sio mzuri kwa maisha yako hata kwa familia yako hapo baadae siku ambazo wewe utakuwa haupo, ubia una changamoto nyingi, migogoro mingi sana ikiwemo changamoto kwenye suala la utoaji maamuzi, kutofautia kimawazo, visasi vya ajabu ajabu, kukomeshana, ubishi, kutokuwa na uaminifu kwa baadhi ya wamiliki, kuzungukana kwenye biashara, kutengenezeana hasara feki kwenye biashara, kulogana, kila mtu kutaka ubosi, kila mtu anataka awe yeye ndo yeye kwenye biashara e.g CEO pamoja na hayo yote huwezi kumkaripia mmiliki mwenzio, huwezi kumfukuza, huwezi kumshitaki kienyeji huwezi kumhoji hoji hovyo n.k

Haya yote yateleta mkanganyiko kwenye biashara hatimae biashara kufa, suala la ubia lina hitaji umakini sana kuliko kutafuta mfanyakazi unayeweza kumtimua muda wowote lkn pia mfanyakazi atafanya kazi kwa kuogopa kutimuliwa,, Fanya biashara wewe mwenyewe mkuu
 
Unakosea mkuu,, kusema biashara mateso kama wewe mwenye biashara hutaki kuteseka nani sasa ateseke kwa ajiri yako??? Kama unapenda bata nenda tu katumie hizo hela kwenye hiyo bata unayotaka taka
Nitateseka kwenye vitu vyenye tija vya kufanikisha biashara yangu sio niteseke kwa ajili ya kumlinda mjinga
 
Vyote vinawekwa kisheria
 
Nitateseka kwenye vitu vyenye tija vya kufanikisha biashara yangu sio niteseke kwa ajili ya kumlinda mjinga

Unahitajika umakini mkubwa sana kwenye kulitumia hili neno "mjinga"

Kama unataka kuendesha biashara kiboss zaidi tafuta chawa wa kuaminika, mtu aliyetokea kukuelewa sana kipindi cha nyuma au hata mkiwa shule lakini bado hajatoboa, mchukue huyo kaa nae karibu akusaidie kwa kazi zako

Wakumbuke masela zako wa enzi hizo wasaidie hao nao watakusaidia kwa moyo wao wote
 

Ukikosa Muhindi tafuta kijana wa Kiislam anayesali lakini pia awe amekwenda shule kiasi na pengine awe na pass ya hesabu. Utanishukuru baadae!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…