Ikiwa hela inapitia kwenye mikono ya mwajiriwa wako basi kuibiwa ni lazima, maana asipo chukua hata kidogo ataonekana mjinga lakini pia hata maboss wana changia kuibiwa kwa kushindwa kutambua thamani ya mfanya kazi wake pamoja na uaminifu wake wote,, lakini cha muhimu hapa nikupata mtu anatakaye iba kwa kiwango kidogo sana hata 2% ya faida afu wewe ukipata hiyo 98% so mbaya sana,, acha uchoyo na ubinafsi,, kisa mtaji ni wako unataka upate kila kitu wewe mwenyewe afu mfanyakazi umlipe laki moja 😐
Biashara ikafanyika kiukandamizaji lazima na wewe uibiwe tu, ndani ya mwezi mmoja upate faida ya 5 milioni afu mfanya kazi anakula laki moja tu,, SASA TUTAFANYAJE KAZI ZA KANISA ikiwa wewe sio kanisa