Hiyo ukaguzi wa kila siku ndo kazi ngumu kwangu kwa sababu vifaa vya pikipiki ni vidogo vidogo na pia mimi huwa nasafiri sana nataka kumuacha mtu huku nyuma ninaemuamini ambae anaweza jisimamia
Usiweke hela yako ktk biashara ,hauko tayari kuifanya. Trust me, binadamu wote ni sawa, especially wakiwa wana deal na kitu ambacho sio chao.
Nani kakudanganya hao wahindi Sio wapigaji, hujawajua tu well. Unao waona wapo na connection ya hiyo biashara na circle yao ndogo, kwamba akipiga tukio kwa wenzao wataenda wapi??
Juzi tu kuna saga lililetwa humu Jf kuna mhindi ana kampuni 4 za Real Estate anawatapeli watu kigamboni, usipagawe na asili ya mtu, atakupiga hela ,maana wew unatafuta mtu aliye kudhidi akili, exposure na usimamizi huyo mtu hawezi kuwa Your loyal Dog.
Biashara, komaaaa nayo kuisimamisha tena anza na small scale,ingawa mtaji unao anzia chini hadi utapo ijua vyema. Hatua inayofata andaa system, mambo yawe yanaenda yenyewe kama Kampuni, hapo ndio wewe utakuwa salama kuwa pembeni na biashara.
Ni asili ya binadamu kujitanguliza kwanza, Kuwa makini. Kosa unalofanya unaamini ktk kabila , mara utafute binti wa kichaga, mara Mhindi,No. Na usifanye kazi na ndugu, andaaa mikataba ya kazi, wadhamini waepo , mtu aone hiii kitu serious niki mess up Kuna A B C, usingizi mambo ya Myth na hearsay za kabila,dini,ukanda au asili.
Tumia hao wachina kujifunza management ya biashara.