Jaman mimi ni muajiriwa nafasi fulani ya juu kidogo hapa nchini.
Nimeweza kupata mil 70 ambayo ni matokeo ya SAVING ya muda mrefu na hela zangu fulani nilikuwa nazidai kulipwa.
Mpango nilionao ni kuanzisha biashara ya spears za pikipiki na tri cycles (guta au Toyo)
Changamoto niliyonayo ni kuwa mimi muda mkubwa wa usimamizi sina nimewaza kumuweka wife nae kasema hawezi acha ajira yake aingie kwenye biashara ambayo hata haijui(in short wife sio mtu wa biashara) nikawaza nipate hata msichana mmoja wa Kichaga mwenye uwezo wa kutumia computer kwa sababu nimepanga niweke CCTV CAMERA na MFUMO WA MAUZO WA KIDIGITAL ila bado imani na hawa watu weusi sina kabisa.
Nilishafunguaga ka biashara cha hizi simu ndogo maarufu kama viswaswadu nikaweka mtoto wa Aunt alichonifanya sina hamu hata ya kuhadithia.
Nirudi kwenye mada iliyonifanya nifungue uzi huu sasa.Nimewaza nipate mu INDI ili nimuajiri au tufanye kama partnership i mean yeye awekeze kwenye Management mimi CAPITAL kwa sababu target yangu mimi ni kuua biashara za wenye viduka vidogo vidogo vya spear hapa wilayani ili nitawale soko kwa mikakati ifuatayo:
1.Kuteka mafundi wazuri wa injini,umeme na mechanics wazuri wenye jina kwa kuwalipa kukaa mbele ya duka langu ambalo lipo hapa city center
2.Nimepata eneo ambalo lipo kando kando ya barabara hapa mjini ambalo kwa mbele lina uwazi mkubwa kiasi cha kuweza ku accomodate mafundi wengi mbele
3.Kazi yangu nadeal sana na watu wa nje i mean wazungu,wachina Waindi n.k hivyo nina rafiki zangu wachina huwa wanaagiza na kufuata containers za spears huko china na wana duka la jumla KKOO hivyo wameniambia kwenye order zao wata include na yangu ili nipate kwa bei nzuri.
4.Kuuza kwa bei ya vunjabei kwa sababu mimi nitapata kwa bei ya chini sana hivyo ni rahisi kunifikia mzigo kwa bei ndogo sana
5.Kuwa na offer kila jumamos kila ataekuja pale dukani kufanya services na maintenance atajaziwa mafuta nusu lita kama offer kila mmoja .
Anyway nimewaza ili mipango yangu iende sawa nahitaji mtu wa kusimamia alie serious ila wabongo siwataki kwa sababu za tabia zetu za WIZI,UMALAYA,UVIVU,EXCUSES NA UJINGA UJINGA AMBAO BILA KUPATA WA KUVICONTROL HULETA HASARA KWENYE KAMPUNI.
NB:
Mwenye jamaa mwenye asili ya INDIA 🇮🇳 anaejielewa aje inbox please usiniletee WAPEMBA nataka Muindi nitamlipia PERMIT ili tufanye kazi ili tunyanyuke wote.