Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho ni kiswahili Cha darasa la Tano,hakuna anayekuchukia na 'mafanikio' yako,Bali kuboronga kiswahili,Tena msomiUzuri tumeelewana sijakuambia kuwa mimi ni muajiriwa wa juu kwenye somo la Kiswahili.
Punguza chuki jikite kwenye mada nyie ndio wabongo mliofail life mmejawa na chuki
Sio kweli, ni waaminifu mara 100 kuliko watanzania. Hata hao wanasiasa kwenye bishara zao kubwa wanajaza wahindi nafasi za management.Una mawazo ya kitumwa Bado.
Wahindi walisifiwa sababu ya ELIMU ya biashara ambayo zamani haikuwepo kwetu.
Sasa Maarifa yapo na wahitimu Toka VYUO vya ndani ni wengi,
Ikiwa tatizo la wengi ni kukosa Maadili, basi Tafuta msomi aliyeokoka Kweli Kweli muweke hapo.
Pia ml 70 ni pesa ndogo sana kuwekeza kwenye biashara ya spea.
Kwa mipango uliyonayo, inahitaji milioni 200 na kuendelea, hivyo unahitaji milioni 140 ingine.
Ni hayo tu.
Zero mtu anarudia mtihani anasonga mbele,Prof mhongo karudia Sana la Saba,alipopita akafika juu kabisahii nchi ya mchongo bana!
kama wazir fulan ana zero na bado ni waziri uandhan nchi imekaaje
Nani kakuambia mimi ni msomi? Alafu kuwa mwalimu wa kiswahili usijione kuwa sisi sote ni wanafunzi wako.Humu kwenye social media hayo ma Mofimu,vishazi huru na vitegemezi hatuna shida nazo tupo na rejesta zetu na tunaelewanaHicho ni kiswahili Cha darasa la Tano,hakuna anayekuchukia na 'mafanikio' yako,Bali kuboronga kiswahili,Tena msomi
utakufa vibaya wwkwa sababu target yangu mimi ni kuua biashara za wenye viduka vidogo vidogo vya spear hapa wilayani ili nitawale soko
Waambie wewe mi sio mjinga kuwatenga wabongo wenzangu.Nalinda capital wabongo wanaweza kuja kuomba kazi wakiwa wana njaa wapole ila wakipata hela wanaripuka na tabia mbaya mbaya za ajabu mpaka mnafunga biasharaSio kweli, ni waaminifu mara 100 kuliko watanzania. Hata hao wanasiasa kwenye bishara zao kubwa wanajaza wahindi nafasi za management.
Kufanya biashara na mtanzania ni ukichaa. Yaani wizi kwenye jamii zetu unaonekana ni ujaja. Kidogo vijana wa kikinga wanajitahidi uaminifu kwenye biashara za ndugu zao.
""Jaman mimi ni muajiriwa nafasi fulani ya juu kidogo hapa nchini.
Nimeweza kupata mil 70 ambayo ni matokeo ya SAVING ya muda mrefu na hela zangu fulani nilikuwa nazidai kulipwa.
Mpango nilionao ni kuanzisha biashara ya spears za pikipiki na tri cycles (guta au Toyo)
Changamoto niliyonayo ni kuwa mimi muda mkubwa wa usimamizi sina nimewaza kumuweka wife nae kasema hawezi acha ajira yake aingie kwenye biashara ambayo hata haijui(in short wife sio mtu wa biashara) nikawaza nipate hata msichana mmoja wa Kichaga mwenye uwezo wa kutumia computer kwa sababu nimepanga niweke CCTV CAMERA na MFUMO WA MAUZO WA KIDIGITAL ila bado imani na hawa watu weusi sina kabisa.
Nilishafunguaga ka biashara cha hizi simu ndogo maarufu kama viswaswadu nikaweka mtoto wa Aunt alichonifanya sina hamu hata ya kuhadithia.
Nirudi kwenye mada iliyonifanya nifungue uzi huu sasa.Nimewaza nipate mu INDI ili nimuajiri au tufanye kama partnership i mean yeye awekeze kwenye Management mimi CAPITAL kwa sababu target yangu mimi ni kuua biashara za wenye viduka vidogo vidogo vya spear hapa wilayani ili nitawale soko kwa mikakati ifuatayo:
1.Kuteka mafundi wazuri wa injini,umeme na mechanics wazuri wenye jina kwa kuwalipa kukaa mbele ya duka langu ambalo lipo hapa city center
2.Nimepata eneo ambalo lipo kando kando ya barabara hapa mjini ambalo kwa mbele lina uwazi mkubwa kiasi cha kuweza ku accomodate mafundi wengi mbele
3.Kazi yangu nadeal sana na watu wa nje i mean wazungu,wachina Waindi n.k hivyo nina rafiki zangu wachina huwa wanaagiza na kufuata containers za spears huko china na wana duka la jumla KKOO hivyo wameniambia kwenye order zao wata include na yangu ili nipate kwa bei nzuri.
4.Kuuza kwa bei ya vunjabei kwa sababu mimi nitapata kwa bei ya chini sana hivyo ni rahisi kunifikia mzigo kwa bei ndogo sana
5.Kuwa na offer kila jumamos kila ataekuja pale dukani kufanya services na maintenance atajaziwa mafuta nusu lita kama offer kila mmoja .
Anyway nimewaza ili mipango yangu iende sawa nahitaji mtu wa kusimamia alie serious ila wabongo siwataki kwa sababu za tabia zetu za WIZI,UMALAYA,UVIVU,EXCUSES NA UJINGA UJINGA AMBAO BILA KUPATA WA KUVICONTROL HULETA HASARA KWENYE KAMPUNI.
NB:
Mwenye jamaa mwenye asili ya INDIA 🇮🇳 anaejielewa aje inbox please usiniletee WAPEMBA nataka Muindi nitamlipia PERMIT ili tufanye kazi ili tunyanyuke wote.
Wengi wao""
siwataki kwa sababu za tabia zetu za WIZI,UMALAYA,UVIVU,EXCUSES NA UJINGA UJINGA AMBAO BILA KUPATA WA KUVICONTROL HULETA HASARA KWENYE KAMPUNI""
NB.
Sio waafrika au watanzanzia wote Wana angukia kwenye hizo tabia ulizo taja japo juu
Kila lakher brother
True,Wengi wao
Acha kukatisha tamaa watu.. mzee binafsi, tuna pikipiki kadhaa ambazo kila weekends tunafanya servicesKama mtaji wa milioni 70 tu unaua biashara za wenzako ujue huko ni pori hasa na pkpk hazivuki 200 na bajaji 19!
Utazikarabati Kwa miezi mitatu ya mwanzo..... Watarudi baada ya mwaka ukiwa umefirisika.
Pkpk ni ngangari
hapo kuna tatizo. Hao unataka kuwaua kuna uwezekano mkubwa ukawafanya ndio wateja wako. Usiwe mbinafsi kutaka wengine wakose.target yangu mimi ni kuua biashara za wenye viduka vidogo vidogo vya spear hapa wilayani ili nitawale soko kwa mikakati ifuatayo:
biashara itakua mkoa gani mkuu?Yeah nimesisitiza hilo wasije jichanganya