Natafuta mtu wa kufanya naye mazoezi ya kuzungumza kingereza

hooligan01

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
664
Reaction score
539
Habari WanaJamiiForums,

Ninahitaji kuwa competent kwenye kuongea kingereza hivo natafuta mtu au watu ambao wako na mitazamo sawa na mimi ili tutafute namna ya kuongea japo kila siku usiku kwa lugha ya kingereza.

Ningefurahi zaidi kupata waliofika hatua ya chuo kikuu kama mimi ili sote tujifunze kwa kila mmoja.

Ahsanteni yeyote mwenye kupendezwa na hili zoezi naomba unidm
 
Means of conversation ni kukutana physically au kwa social platforms i.e whatsapp?
 
Kuna app nimeisahau jina lakini wapo watu wa mataifa tofauti duniani mnaongea English tu huko. Wahindi wapo wengi sana huko, stahmili na lafudhi tu huko🤣🤣
 
Yeah I have welcome you in teaching English language both you, I operating a English course and I'm the teacher.
I will shift English from me to you. Check me to learn more, currently I'm Birmingham England not in TANZANIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…