Natafuta mtu wa kufanya naye mazoezi ya kuzungumza kingereza

Kuna app nzuri kuna watu wengi wa nataifa mbalimbali wanajifunza na conservation za kutosha kwa all levels ukiwa mchangamfu utapata marafiki kibao wa kubonga nao kutoka nchi mbalimbali.

Kuna app ya Tandem na nyingine nimeisahau.
 
Ok welcome my friend. I am a teacher at Kizozo secondary school in Sumbawanga. I teaching english in this school. I like to talked english. My pupils and teachers at this school didn't like to talking english.
So welcome my friend.
Sorry, did you just say you are an English teacher seriously?
 
Habari WanaJamiiForums,

Ninahitaji kuwa competent kwenye kuongea kingereza hivo natafuta mtu au watu ambao wako na mitazamo sawa na mimi ili tutafute namna ya kuongea japo kila siku usiku kwa lugha ya kingereza.

Ningefurahi zaidi kupata waliofika hatua ya chuo kikuu kama mimi ili sote tujifunze kwa kila mmoja.

Ahsanteni yeyote mwenye kupendezwa na hili zoezi naomba unidm
🤣🤣🤣🤣
 
Kwa cc tulioishia lasaba hututak?
 
Unataka waliofika level ya chuo kipi mkuu?
Maana kuna chuo cha ufundi cherehani hapa mtaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]au unataka wale degree holders wa vyyo vya mchongo kama Ushirika Moshi na Udom?
Ambao ndo huwa wateja wazuri wa movie za dj Mark (Acheche productions) kwenye laptop zao wamejaza movie zilizotafsiriwa na mkalimani wa taifa (Dj mark) yaani ukiwapa movie ya kiingereza ambayo haijatafsiriwa hawawezi kuangalia maana hawaelewi maudhui yaliyomo!
 
Kumbe inabidi nikaweke goli langu pale UDSM la CD za Djmark naona ntapiga ela🤣🤣🤣 chief
 
Habari WanaJamiiForums,

Ninahitaji kuwa competent kwenye kuongea kingereza hivo natafuta mtu au watu ambao wako na mitazamo sawa na mimi ili tutafute namna ya kuongea japo kila siku usiku kwa lugha ya kingereza.

Ningefurahi zaidi kupata waliofika hatua ya chuo kikuu kama mimi ili sote tujifunze kwa kila mmoja.

Ahsanteni yeyote mwenye kupendezwa na hili zoezi naomba unidm
Wakati unatafuta wa kufsnya nae mazoezi, weka utaratibu wa kusoma vitabu vya kiingereza, sikiliza tv channel za kiingereza, kama Al Jazeera na CNN,
 
Back
Top Bottom