hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Mkiunda group msisahau kuni addSawa mkuu fanya kunidm namba yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkiunda group msisahau kuni addSawa mkuu fanya kunidm namba yako
Unda group weka link hapa watu wa join, mambo ya kufuatana pm then physically sio afya sana..hasa kwa wapenda anonymity.Habari WanaJamiiForums,
Ninahitaji kuwa competent kwenye kuongea kingereza hivo natafuta mtu au watu ambao wako na mitazamo sawa na mimi ili tutafute namna ya kuongea japo kila siku usiku kwa lugha ya kingereza.
Ningefurahi zaidi kupata waliofika hatua ya chuo kikuu kama mimi ili sote tujifunze kwa kila mmoja.
Ahsanteni yeyote mwenye kupendezwa na hili zoezi naomba unidm
Mada za kila siku kama DP wedi, simba na yanga na tozo.Sasa mtakuwa mnaongea kuhusu nini?
Unda group weka link hapa watu wa join, mambo ya kufuatana pm then physically sio afya sana..hasa kwa wapenda anonymity.
Sent using Jamii Forums mobile app
Download app ya clubhouse. Kuna rooms kibao za beginners wa kiingereza. Tena ni worldwide utaongea mpaka utachoka.Habari WanaJamiiForums,
Ninahitaji kuwa competent kwenye kuongea kingereza hivo natafuta mtu au watu ambao wako na mitazamo sawa na mimi ili tutafute namna ya kuongea japo kila siku usiku kwa lugha ya kingereza.
Ningefurahi zaidi kupata waliofika hatua ya chuo kikuu kama mimi ili sote tujifunze kwa kila mmoja.
Ahsanteni yeyote mwenye kupendezwa na hili zoezi naomba unidm
If you're truly an English teacher, then as a country, we have a long way to go. Your English sucks, bro.Yeah I have welcome you in teaching English language both you, I operating a English course and I'm the teacher.
I will shift English from me to you. Check me to learn more, currently I'm Birmingham England not in TANZANIA.
Fluent?Kuna app nimeisahau jina lakini wapo watu wa mataifa tofauti duniani mnaongea English tu huko. Wahindi wapo wengi sana huko, stahmili na lafudhi tu huko[emoji1787][emoji1787]
Utatuma tu namba nikuunge groupMkiunda group msisahau kuni add
Ok sawa nalifanyia kaziI, with all due respect, second this 💯
Your welcomeHabari WanaJamiiForums,
Ninahitaji kuwa competent kwenye kuongea kingereza hivo natafuta mtu au watu ambao wako na mitazamo sawa na mimi ili tutafute namna ya kuongea japo kila siku usiku kwa lugha ya kingereza.
Ningefurahi zaidi kupata waliofika hatua ya chuo kikuu kama mimi ili sote tujifunze kwa kila mmoja.
Ahsanteni yeyote mwenye kupendezwa na hili zoezi naomba unidm
Sio ya kuiamini hii mambo mengi haijui, sometimes itakupa kile inaamini utapenda kukisikia ila sio cha kukujenga zaidi.AI chat.
Uko shuleni mlienda kusomea ujinga????
kwamba mtu kufika chuo kikuu ndio anajua kingereza
Hii grammer ni hatari kasorobo! [emoji1787]Yeah I have welcome you in teaching English language both you, I operating a English course and I'm the teacher.
I will shift English from me to you. Check me to learn more, currently I'm Birmingham England not in TANZANIA.
Wewe ndio Mjinga.Wewe ndo Mjinga, kuna mtu yupo standard 4, mwanangu anajua kingereza kuliko wewe, ila Mtadiscuss nini? Scobidoo? Anataka wa chuo kikuu ili pawe na mjadala unaoshabihiana.
Cut him some slack, man 😅If you're truly an English teacher, then as a country, we have a long way to go. Your English sucks, bro.