Natafuta mtu wa kufanya naye mazoezi ya kuzungumza kingereza

Habari WanaJamiiForums,

Ninahitaji kuwa competent kwenye kuongea kingereza hivo natafuta mtu au watu ambao wako na mitazamo sawa na mimi ili tutafute namna ya kuongea japo kila siku usiku kwa lugha ya kingereza.

Ningefurahi zaidi kupata waliofika hatua ya chuo kikuu kama mimi ili sote tujifunze kwa kila mmoja.

Ahsanteni yeyote mwenye kupendezwa na hili zoezi naomba unidm
Unda group weka link hapa watu wa join, mambo ya kufuatana pm then physically sio afya sana..hasa kwa wapenda anonymity.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari WanaJamiiForums,

Ninahitaji kuwa competent kwenye kuongea kingereza hivo natafuta mtu au watu ambao wako na mitazamo sawa na mimi ili tutafute namna ya kuongea japo kila siku usiku kwa lugha ya kingereza.

Ningefurahi zaidi kupata waliofika hatua ya chuo kikuu kama mimi ili sote tujifunze kwa kila mmoja.

Ahsanteni yeyote mwenye kupendezwa na hili zoezi naomba unidm
Download app ya clubhouse. Kuna rooms kibao za beginners wa kiingereza. Tena ni worldwide utaongea mpaka utachoka.
 
Yeah I have welcome you in teaching English language both you, I operating a English course and I'm the teacher.
I will shift English from me to you. Check me to learn more, currently I'm Birmingham England not in TANZANIA.
If you're truly an English teacher, then as a country, we have a long way to go. Your English sucks, bro.
 
Habari WanaJamiiForums,

Ninahitaji kuwa competent kwenye kuongea kingereza hivo natafuta mtu au watu ambao wako na mitazamo sawa na mimi ili tutafute namna ya kuongea japo kila siku usiku kwa lugha ya kingereza.

Ningefurahi zaidi kupata waliofika hatua ya chuo kikuu kama mimi ili sote tujifunze kwa kila mmoja.

Ahsanteni yeyote mwenye kupendezwa na hili zoezi naomba unidm
Your welcome
 
Uko shuleni mlienda kusomea ujinga????
kwamba mtu kufika chuo kikuu ndio anajua kingereza

Wewe ndo Mjinga, kuna mtu yupo standard 4, mwanangu anajua kingereza kuliko wewe, ila Mtadiscuss nini? Scobidoo? Anataka wa chuo kikuu ili pawe na mjadala unaoshabihiana.
 
Back
Top Bottom