Natafuta mtu wa kufanya naye mazoezi ya kuzungumza kingereza

Natafuta mtu wa kufanya naye mazoezi ya kuzungumza kingereza

Ok welcome my friend. I am a teacher at Kizozo secondary school in Sumbawanga. I teaching english in this school. I like to talked english. My pupils and teachers at this school didn't like to talking english.
So welcome my friend.
The sentence "I like to talked English" is grammatically incorrect. The correct form should be "I like to talk English." Therefore, the corrected sentence would be: "Ok, welcome my friend. I am a teacher at Kizozo Secondary School in Sumbawanga. I teach English in this school. I like to talk English. However, my pupils and teachers at this school don't like to speak English."
 
Ubaya wa kingereza cha kukariri ukikutana na Mzungu mwingereza kinapotea chote..[emoji1787][emoji1787]
 
Yeah I have welcome you in teaching English language both you, I operating a English course and I'm the teacher.
I will shift English from me to you. Check me to learn more, currently I'm Birmingham England not in TANZANIA.
😂😃😂 wake up wake up
 
Habari WanaJamiiForums,

Ninahitaji kuwa competent kwenye kuongea kingereza hivo natafuta mtu au watu ambao wako na mitazamo sawa na mimi ili tutafute namna ya kuongea japo kila siku usiku kwa lugha ya kingereza.

Ningefurahi zaidi kupata waliofika hatua ya chuo kikuu kama mimi ili sote tujifunze kwa kila mmoja.

Ahsanteni yeyote mwenye kupendezwa na hili zoezi naomba unidm
Mkuu
My English is not reachable 😀 😀 😀 😀


Keep on articulating and pitch new five vocabularies daily. Read books, yes novels and sometimes read them loudly....


Kiingereza changu kibovu kama gari ya mkaa
 
Huyu ni zaidi ya mtu
Screenshot_20250308-143927_One UI Home.jpg
 
Back
Top Bottom