Natafuta mtu wa kufanya naye mazoezi ya kuzungumza kingereza

Kiingereza chenyewe "Ze" inatumika kuwakilisha "the ". Nani atamfundisha mwingine?
 
Nipo apa walau tukiongea kwa nusu saa kwa siku inatosha
 
Na mimi nataka kuwa fluent, wenye interest tuunde group tuwe tunafanya mazoezi ya kuongea pamoja na awepo anaejua vizuri
 
Nimependa na mimi
 
Kama group lipo, tupa link hapa watu wenye haja ya kujiunga wajiunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…