Natafuta MTU wa kuniandikia proposal ya biashara ya milioni Tano chap.

hii ndio orodha ya mambo 20 inayohitaji kujua ili kuandika proposal nzuri ya biashara ya milioni 5:

Kuhusu Biashara
1. Jina la biashara (kama lipo)
2. Aina ya biashara (kilimo, duka, huduma, uzalishaji, n.k.)
3. Bidhaa au huduma utakazouza
4. Mahali biashara itakapokuwa (mkoa/jiji/eneo)
5. Kwa nini umechagua biashara hii (uzoefu au fursa uliyoiona)

Soko na Wateja
6. Wateja wako watarajiwa ni kina nani
7. Ushindani uliopo katika eneo lako
8. Ni nini kitakachokufanya uwe tofauti na washindani

Fedha
9. Milioni 5 ni mtaji wote au sehemu ya mtaji mkubwa zaidi
10. Fedha zitatoka wapi (akiba yako, mkopo, mwekezaji)
11. Kama ni mkopo - ni benki gani au taasisi gani
12. Malengo ya matumizi ya fedha (mgawanyo - vifaa, stock, kodi, n.k.)

Uendeshaji
13. Utaanza lini (tarehe au muda unaokusudiwa)
14. Utahitaji wafanyakazi wangapi
15. Je, tayari una eneo/jengo la biashara au bado unatafuta
16. Vifaa/mitambo utakayohitaji kununua

Malengo na Mipango
17. Malengo ya mwaka wa kwanza (mapato yanayotarajiwa)
18. Mpango wa ukuaji (miaka 2-5 ijayo)
19. Hatari zinazoweza kujitokeza na jinsi utakavyozikabili

Lengo la Proposal
20. Proposal hii ni kwa ajili ya nani (benki, mwekezaji, taasisi ya serikali, au matumizi yako binafsi
 
Pogue sin20. Proposal hii ni kwa ajili ya nani (benki, mwekezaji, taasisi ya serikali, au matumizi yako binafsi
Nipigie tuongee
 
Ninahitaji Hilo kama upo nichel
0747464239
Zifahamu Templates za 'Business Plan' na 'Financial Reporting' Zitakazokusaidia Kupata Mkopo wa Benki au Mwekezaji Kwenye Biashara Yoyote

Ili mpango wako wa biashara (Business Plan) ukubalike na mabenki, taasisi za kifedha, au wawekezaji wakubwa kwenye mradi au biashara yoyote, hauwezi kusimama peke yake. Kuna nyaraka zingine za msingi na muhimu sana ambazo lazima ziandaliwe kwa pamoja hususan mchanganuzi thabiti wa hesabu za kifedha.

Ili kukusaidia kurahisisha mchakato huu, kukuokoa gharama kubwa za kuajiri washauri (consultants), na kukuzuia kuanza kuandika kila kitu upya tangu mwanzo (from scratch), tumekuandalia Templates za Kitaalamu zinazofaa kwa biashara yoyote ile.
Hivi ndivyo unavyoweza kujipatia leo ili kukuza biashara yako:

1. Business Plan Template (Maalum kwa Biashara Yoyote)
Hii ni template iliyopangwa katika muundo wa kiwango cha kibenki na kitaalamu (Corporate & Bankable Standard). Inakuongoza hatua kwa hatua jinsi ya kuwasilisha wazo lako ili lieleweke na kuvutia mtaji.

2. Financials Reporting & Modeling Template
Huu ni mfumo wa Excel uliotengenezwa kitaalamu kwa ajili ya kufanya makadirio ya mapato, matumizi, na faida. Hii ndio hati ambayo benki yoyote itaitaka ili kuona kama biashara yako ina uwezo wa kulipa mkopo.

Inachojumuisha: Ripoti ya Mapato na Matumizi (Profit & Loss / P&L Statement), Mzunguko wa Fedha (Cash Flow Statement), Ripoti ya Mali na Madeni (Balance Sheet), na hesabu za lini utaanza kurudisha mtaji (Break-even point).

Faida yake: Fomula zote ziko tayari zimeunganishwa (Pre-formatted formulas). Wewe unaingiza tu namba zako za mauzo na gharama, na mfumo unajipiga hesabu zote zenyewe kiotomatiki!

Kama unahitaji mojawapo ya hizo templates usisite kututafuta.
📞 Mawasiliano yetu ni:
WhatsApp: 0687746471/0747744895
Email: [email protected]

Asante nitakucheki
 
Eeh hapo umenena sana, proposal ni kazi ya kufikiria sana, mimi nikiwa na milioni tano ningeanza tu biashara ndogo ya kukusanya mazao kuliko kuandika proposal za kufa na kupona. lol
 
Back
Top Bottom