Natafuta mtu wa kusogeza naye siku

Natafuta mtu wa kusogeza naye siku

Kama kichwa kilivyojieleza nahitaji mtu wa kusogeza naye siku kama tutaridhiana tunaweza kuamua kudumu na kufata taratibu zingine.
Sifa za nimtakae
Kubwa katika yote awe tayari kucheck HIV na tutacheck tena after 3 month ili kuhakikisha usalama wetu halafu mengineyo yatafata
Asiwe mnywa pombe wala mvuta sigara wala mpenda starehe kama kwenda sehemu za club.
Dini- Mkristu
Age- 28-32
Rangi- Maji ya kunde
Elimu awe na diploma au degree itapendeza zaidi.
Kazi- Kaajiriwa/Kajiajiri
Sifa zangu
Mkristu,umri 24,elimu degree rangi mweusi ,mrefu ,uzuri wa sura na umbo nipo kawaida sana.
Kunifahamu zaidi njoo pm.

una chura??kwenu hela ipo??? nikijibiwa haya nakuja pm fasta
 
Umeweza kuandika essay ndefuuuuuu.... Lakini kusema tu kama una chura ama Indian style umeshindwa!
 
Sio lazima kujifanya mjuaji wa kila kitu,kama thread haikuhusu unapota tu maana si vyema kumpangia mtu cha kupost
Endeleeni kupotana.

kupangiana lazima kuwepo hapa umalaya hauruhusiwi tayari umepangiwa. Utapeli hauruhusiwi tayari umepangiwa.

Uhuniuhuni wa kishamba hauruhusiwi tayari umepangiwa. Cha msingi endeleni kupotana. Upuuzi mtupu.

Kwa hiyo nawe unajiona umeokota demuuu?????
 
Endeleeni kupotana.

kupangiana lazima kuwepo hapa umalaya hauruhusiwi tayari umepangiwa. Utapeli hauruhusiwi tayari umepangiwa.

Uhuniuhuni wa kishamba hauruhusiwi tayari umepangiwa. Cha msingi endeleni kupotana. Upuuzi mtupu.
sawa mjuaji ila nina mashaka na hakili yako
 
Back
Top Bottom