Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Nimelewa tatizoNa wewe una load taratibu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimelewa tatizoNa wewe una load taratibu....
Hahaha... lala hangover ukiishe wewe. Niletee kasabrina usije ukakasumbuaNimelewa tatizo
Silali hapa naenda kuendeleza tenaHahaha... lala hangover ukiishe wewe. Niletee kasabrina usije ukakasumbua
Nadhani kikubwa kilichokukwaza ni about HIV hivi unavodhani kwa akili yako mtu anayependa uhai wake anaweza kuingia in relation na mtu asomfahamu bila kupima.Au kusogeza siku cause hata nchi za wenzetu zilizoendelea kuna ndoa za mikataba ili mkiona mnafaa kuendelea gurudumu linasonga mkiona haifai mnabreak up hasa hapo kuna tofauti gani na kusema walikuwa wanasogeza mda wa kuishi.Endeleeni kupotana.
kupangiana lazima kuwepo hapa umalaya hauruhusiwi tayari umepangiwa. Utapeli hauruhusiwi tayari umepangiwa.
Uhuniuhuni wa kishamba hauruhusiwi tayari umepangiwa. Cha msingi endeleni kupotana. Upuuzi mtupu.
Kwa hiyo nawe unajiona umeokota demuuu?????
Nadhani kikubwa kilichokukwaza ni about HIV hivi unavodhani kwa akili yako mtu anayependa uhai wake anaweza kuingia in relation na mtu asomfahamu bila kupima.Au kusogeza siku cause hata nchi za wenzetu zilizoendelea kuna ndoa za mikataba ili mkiona mnafaa kuendelea gurudumu linasonga mkiona haifai mnabreak up hasa hapo kuna tofauti gani na kusema walikuwa wanasogeza mda wa kuishi.
Yes atleat umeongea kitu ambacho kipo ndani ya moyo wangu ila sikukiweka clear but the aim ya hii relation kama nilivyosema nikusogeza siku.But lolote laweza tokea inawezekana tukaja tukapendana kweli so pia inaweza ikaja kuwa relation ya kudumu japo sijaipa priority kivile but anything can happen in this relation.wakusogeza siku bado unataka na umri, na kazi na elimu lol,
wewe ungesema natafuta mwanaume mashine mwenye akili timamu baasi.
ndio mnaojilengesha mimba ndiii ndoa zisizo na matarajio baadae vilio msitafute wachumba Jf. kwi kwi kwi.
Mbona hujataja sifa za kimaumbile?...ya nje na ya ndani ili usije kuumia au kushangaa...Kama kichwa kilivyojieleza nahitaji mtu wa kusogeza naye siku kama tutaridhiana tunaweza kuamua kudumu na kufata taratibu zingine.
Sifa za nimtakae
Kubwa katika yote awe tayari kucheck HIV na tutacheck tena after 3 month ili kuhakikisha usalama wetu halafu mengineyo yatafata
Asiwe mnywa pombe wala mvuta sigara wala mpenda starehe kama kwenda sehemu za club.
Dini- Mkristu
Age- 28-32
Rangi- Maji ya kunde
Elimu awe na diploma au degree itapendeza zaidi.
Kazi- Kaajiriwa/Kajiajiri
Sifa zangu
Mkristu,umri 24,elimu degree rangi mweusi ,mrefu ,uzuri wa sura na umbo nipo kawaida sana.
Kunifahamu zaidi njoo pm.
Aiseeeee!!Ok naona maswali PM yanakua mengi kuhusu kusogeza siku namaanisha nini yani inshort utakuwa huru kuwa na mtu wako nami nitakuwa huru kuwa na wangu nikimpata nimpendae so hii relation itakuwa just friend cause nikipata nitayemridhia itavunjika
.So nahitaji tu mtu wa kunicare na pia kuhusu swala la sex jua kabisa hatutasex mpaka tutaporudia vipimo vya mara ya pili ili kulinda usalama wangu.
Kabisa, hii inashusha hadhi ya hili jukwaa!Upuuzi mtupu.
JamiiForums Moderator hizi thread za hivi ni za kufuta. Kuna watu wapo serious wanatafuta wachumba/wake/waume hawapati kisa upuuzi upuuzi tu.