Natafuta mtu wa kusogeza naye siku

Natafuta mtu wa kusogeza naye siku

Sio lazima kujifanya mjuaji wa kila kitu,kama thread haikuhusu unapota tu maana si vyema kumpangia mtu cha kupost
Ahsante kwa kunisaidia anadhani kila mtu ni wa kumfananisha na alionao
 
Endeleeni kupotana.

kupangiana lazima kuwepo hapa umalaya hauruhusiwi tayari umepangiwa. Utapeli hauruhusiwi tayari umepangiwa.

Uhuniuhuni wa kishamba hauruhusiwi tayari umepangiwa. Cha msingi endeleni kupotana. Upuuzi mtupu.

Kwa hiyo nawe unajiona umeokota demuuu?????
Nadhani kikubwa kilichokukwaza ni about HIV hivi unavodhani kwa akili yako mtu anayependa uhai wake anaweza kuingia in relation na mtu asomfahamu bila kupima.Au kusogeza siku cause hata nchi za wenzetu zilizoendelea kuna ndoa za mikataba ili mkiona mnafaa kuendelea gurudumu linasonga mkiona haifai mnabreak up hasa hapo kuna tofauti gani na kusema walikuwa wanasogeza mda wa kuishi.
 
Nadhani kikubwa kilichokukwaza ni about HIV hivi unavodhani kwa akili yako mtu anayependa uhai wake anaweza kuingia in relation na mtu asomfahamu bila kupima.Au kusogeza siku cause hata nchi za wenzetu zilizoendelea kuna ndoa za mikataba ili mkiona mnafaa kuendelea gurudumu linasonga mkiona haifai mnabreak up hasa hapo kuna tofauti gani na kusema walikuwa wanasogeza mda wa kuishi.

mbna mie majibu sijayapata???
 
wakusogeza siku bado unataka na umri, na kazi na elimu lol,
wewe ungesema natafuta mwanaume mashine mwenye akili timamu baasi.

ndio mnaojilengesha mimba ndiii ndoa zisizo na matarajio baadae vilio msitafute wachumba Jf. kwi kwi kwi.
Yes atleat umeongea kitu ambacho kipo ndani ya moyo wangu ila sikukiweka clear but the aim ya hii relation kama nilivyosema nikusogeza siku.But lolote laweza tokea inawezekana tukaja tukapendana kweli so pia inaweza ikaja kuwa relation ya kudumu japo sijaipa priority kivile but anything can happen in this relation.
 
Kama kichwa kilivyojieleza nahitaji mtu wa kusogeza naye siku kama tutaridhiana tunaweza kuamua kudumu na kufata taratibu zingine.
Sifa za nimtakae
Kubwa katika yote awe tayari kucheck HIV na tutacheck tena after 3 month ili kuhakikisha usalama wetu halafu mengineyo yatafata
Asiwe mnywa pombe wala mvuta sigara wala mpenda starehe kama kwenda sehemu za club.
Dini- Mkristu
Age- 28-32
Rangi- Maji ya kunde
Elimu awe na diploma au degree itapendeza zaidi.
Kazi- Kaajiriwa/Kajiajiri
Sifa zangu
Mkristu,umri 24,elimu degree rangi mweusi ,mrefu ,uzuri wa sura na umbo nipo kawaida sana.
Kunifahamu zaidi njoo pm.
Mbona hujataja sifa za kimaumbile?...ya nje na ya ndani ili usije kuumia au kushangaa...
 
Ok naona maswali PM yanakua mengi kuhusu kusogeza siku namaanisha nini yani inshort utakuwa huru kuwa na mtu wako nami nitakuwa huru kuwa na wangu nikimpata nimpendae so hii relation itakuwa just friend cause nikipata nitayemridhia itavunjika
.So nahitaji tu mtu wa kunicare na pia kuhusu swala la sex jua kabisa hatutasex mpaka tutaporudia vipimo vya mara ya pili ili kulinda usalama wangu.
Aiseeeee!!
Kweli hii ni demokrasia.
 
Hujaeleza millage ya k yako, wanaume waliokupitia wanajaa hiece, coaster, richer au treni ya mwakyembe?
 
Umezaliw 1993 kwa harak harak unasoma iv hamuon maisha aya n magumu emu someni bn dada zangu
 
Kutafuta mke/mchumba kwenye mitandao kwa kweli sijawahi kushawishika na naomba nisije kushawishika, maana unaweza kukutana na kitu ambacho hukutegemea!
 
Jamani jaman. Muogopeni mungu.
Kwenye mapenzi masuala ya elimu. Yanaingia vipi?
 
Unatafuta mwanaume mtandaoni ukimpata uanze kumtesa na mahitahi ya kila siku na starehe zako? Tafuta kazi ikusaidie kuendesha maisha yako we si umesema una degree?
 
Back
Top Bottom