Natafuta mtu wa kuzaa nae watoto watatu bila ndoa


Ukimpata niambie namm nibandike bandiko langu
 
japo ni mpango wako,sio jambo jema kabisa,kwani kuzaa na mtu bila mpango wa kumuoa ni chukizo mbele ya macho ya Mungu
 
Jf imekuwa ya ajabu sana zamani ilikuwa ukiingia humu ni kama umeingia kwenye semina. Kulikuwa na mada nzuri sana na za kuvutia.
Wazamani mbona wamejaa tu humu na wao wamejaa kwenye mifumo ya kula tunda kimasihara.

Note: mwamba ni wa kitambo humu kuliko wewe.
 
 
Tafuta incubetor.
 
Kama mtu wa miaka 32 sasa nasema sina mtoto nataka tu jitu ni zae nalo ila sitaki tu mtu
 
zaa na Wema Sepetu
 
Hiyo ni sawa na kusema nataka nikaajiriwe kuwa governor wa benki kuu ila sitaki kusoma chochote wala kuwa na cheti chochote.

Ishara ya kwanza au disqualification ya kwanza ya mwanamke kutokuwa na hadhi ya kuwa mama kwa watoto ni kutotaka kujihusisha na mwanaume kama mume wake.

Kwasababu malezi ya watoto sio pesa wala mali bali na joint effort ya baba na mama kwenye kuwashepu kibailojia na kuwatengeneza kisaikolojia kuwa binadamu na raia wa kawaida.

Picha linaanza hauwezi kupata watoto bila mbegu ya mwanaume. Nini kinakudanganya unaweza kuwalea hao watoto bila kuja kuwa traumatized siku za baadae wakianza kuingia utu uzima?

Kama huwezi kuheshimu tu mfumo wa mahusiano wa asili why unataka kuwa sehemu ya muendelezo wa products ya mahusiano yaani uzazi na malezi ya mtoto au watoto?

Nenda katafute mtaalamu wa therapy akupe tiba kupitia ushauri nasaha kuhusu past trauma ulizopitia ili uweze kusafisha akili yako na kurudi kuwa sawa sawa na uachane na maamuzi ambayo ni kufuru na yatakuletea majuto ya Maisha hadi uzeeni na kuwaacha watoto wako wakiwa wahanga wa maamuzi yako yaliyojawa ubinafsi na upotofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…