Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Unataka kumuingiza mwenzio kwenye ushirikinaKuna Imam wa msikitini anatafuta mke wa pili, kama upo tayari nikuoze.
Tena na kazi atakupatia hapohapo msikitini.
Mcha Mungu, halewi, havuti sigara, yeye ni mkulima na Imam wa msikitini. Nikuunganishie Mkuranga hiyo, tena utakuwa jirani yangu, maana yeye ndiyo Imam wa msikitini kwetu hapa.
Alikutana na mjf mwenye mapengoππNini kimekukuta huko PM hadi unasisitiza "umakini"??
Ndio interview yenyewe hiyo. Ukipita kazi itapatikana, ukifail utasubiri sanaOkay dear [emoji16][emoji16] nimejitahidi kuwa kimya but wanakera sanaa jamanii. Mizahaa mingi sana mpaka inakera.
Handcapnina mtoto 1,
Sio tatizo, kama baba alifariki, alibakwa? alidanganywa?Hofu ya Mungu inakaa wapi iwapo una mtoto 1 kabla hujaolewa?
Hafai huyu. Hana uvumilivu hata kwenye vitu vidogo sana.Sweetheart,
Ni kweli humu ndani kuna makwazo lakini kwa namna hii kweli..!? Mwanaume mwenye nia akiona kauli kama hizi tayari kwake ni turn-off..!!
Hao wanaokufanyia kejeli ungeachana nao tu kisha wewe ujitahidi ku focus na jambo lako naamini utafanikiwa..!
Halafu wenye nia kweli watakuja PM siyo hawa wanaojisemesha hapa kwenye comments my dear..!!
Mungu mwenyezi akujalie hitaji la moyo wako, kwa haraka zaidi. Amen!Mimi ni mwanamke, umri 36, naishi Singida, makazi rasmi ni Arusha. Kazi ni Secretary nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa nina mtoto 1, Mkristo mhofu ya Mungu, body size medium, situmii pombe.
Natafuta mchumba/mume, umri miaka 37-40, awe Mkristo, mwenye hofu ya Mungu, mwenye kazi yoyote halali yenye kipato kizuri, mpenda maendeleo, kabila lolote, asiwe mlevi, asiwe anavuta sigara.
Kama una vigezo tukutane PM kwa mwanaume serious tu. Kashfa, matusi na kejeli haviruhusiwi .
Ahsante.
Kwenye kudanganywa ni ufuasi wa shetani. Walio na hofu ya Mungu hawadanganyiki.alidanganywa?
[emoji1374][emoji1374]Mungu mwenyezi akujalie hitaji la moyo wako, kwa haraka zaidi. Amen!
Astaghafiru Allah [emoji23][emoji23][emoji23]Noma noma noma tafuta dalali Mama tafuta dalali
wiki ishakatamshamba_hachekwi na Mwachiluwi Fursa hiππ
Wewe yupo kwaoBaba wa mtoto yupo wapi?
Tuanzie hapo kwanza.
Maswala yakumuweka mshamba_hachekwi kwenye vitu kama hivi unanitafuta kabisa Mwachiluwi anastress usimzoee na hilo bichwa kama sahani la chakula pale shishi foodmshamba_hachekwi na Mwachiluwi Fursa hiππ