Natafuta Mume aliye serious anayetaka mke. Nina miaka 36

Nimesikitika sana baada ya kusoma comments za wadau, hamjui tu huyo binti amepitia yepi mpaka kufikia kuja kuanzisha Uzi humu ndani, tujaribu kuvaa viatu vyao kabla hatujachangia.
 
sawa kaka
 
Huyo imamu wako hajawaona wanawake wanakuja hapo msikiti anaposalisha.... Akimaliza swala atoke nje fasta aangalie warembo
Wanavaa hijabu na nikabu Imamu hawaoni vizuri uso wala miili yao anaogopa kuoa jini sababu majini pia huwa yanashiriki swala msikitini kwa mujibu wa kuruani
 
Nakumbuka nikiwa form 4, mama yangu alikua na miaka 36.
Umri mzuri huo. kakuzaa ana mika 20. Kuna watu form IV mama zao wana miaka 28.

Tembelea mikoa ya kusini ukajionee mambo huko, wengine miaka 26 mtoto yupo form IV.
 
Haya. Wanaovuta bangi mko wapi? Nyie ndo mmepewa kipaumbele leo.
 
Ila mijanaume ya siku hizi misenge,na hainaga hata huruma. Yaani mmewatelekeza wanawake,kutongoza hamtaki. Kula tunda kimasihara,inaonekana kasi imepungua. Mmeanza kusakwa mtandaoni!? Haya, na huku mnakuja kujidai hamueleweki,subirini sasa. Mtakuwa mnaitwa kushea dina,mnafungiwa,nguo zinalowekwa.
 
Imam alikushindwa wewe,na uchawi wako,atamuweza huyo? Af kasema mkristo. Au huyo imam wenu hachagui dini
 
Wakiwa bado wadogo na wana machaguo mengi wanajibinua midomo, mwisho wa siku wanapewa mimba wanatelekezwa, alafu at 36, 4 years prior to Menopause ndo wanamiss ndoa, jau sana😂😂
Kumbuka hapa hajapata mtu hata hivo. Weka mwaka mmoja wa kuliwa tunda kimasihara na kuachwa. Weka mwaka mwingine wa kujiweka sawa tena. Weka mwaka mwigine wa kuolewa,na kujazwa. Weka miwili ya kunyonyesha. Yaani hapo umejitahidi sana,katapatikana katoto kamoja. Sasa kazaliwe na akili kama za maza. Kwisha habari. Mi naona angeondoa hivyo vigezo vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…