vanus
JF-Expert Member
- May 27, 2017
- 1,151
- 2,896
Amina! upo hapo daslam eh?Ndio Venus... Asante sana.be blessed.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina! upo hapo daslam eh?Ndio Venus... Asante sana.be blessed.
Itabidi nije nikuone hapo daslam viumbe kama nyie ni baraka, huku kaskazini wanawake wamekuwa majambazi.Ndio[emoji4]
Unataka mwanamume awe wa umri gani??[emoji23][emoji23] wanaiba ninii?
Unalala nae getto jicho moja umefunga lingine unaacha wazi, wakati huo ufunguo umeficha mbali sana bila ya hivyo asubuhi utapiga uwiiii kubwa sana.[emoji23][emoji23] wanaiba ninii?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]majambazi wa nn tenaItabidi nije nikuone hapo daslam viumbe kama nyie ni baraka, huku kaskazini wanawake wamekuwa majambazi.
Uwiiii uwiiii uwiiii kiruuuu nimeibiwaaaaa yesuu nakufaaa!Hebu piga iyo uwiiii apa niskie[emoji23]
Wanawake wamekaa kimkakati unamtamani na yeye anakutamani ukizingua inapigwa simu moja toyo zinajaa hapo getto kinachofata ni I.T.V[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]majambazi wa nn tena
Hiyo hiyo la mamaaa hapo tayari getto ni jeupe na hapo inabidi ulie kidogo urudi ndani, wasikukute hapo nje unadekaa.Hii si inaitwaga ukunga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] keleuwiiiii[emoji2957][emoji2957]
Acha tufe nazo[emoji4] kwa kweli dawa siez acha[emoji85]Hivi bado mmeshikiliwa akili mnaamini kuwa ukimwi upo??
Na mnameza hayo mashudu amkeni waafica HIV is a hoax, kumeza mashudu kunawapeleka makaburini mapema sana.
Mjadala kuhusu HIV ulishaongelewa kitambo humu na hakuna hata daktari mmoja alieleta scientific evidence hata moja bali imebakia imani tu na kurithishana uongo tuliomezeshwa na mabeberu kupitia mainstream, amkeni[emoji41]
Si ndio la mama ndo maana nikaona utofauti kidogo kwako unavyowajibu watu kistaarabu nikavutiwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njoo dar Sasa huku hawaibi