Natafuta mume bora kutoka JamiiForums

Njoo kwangu kwa Babu hapa sina makuu
 
Bila shaka akaekupata atakua amepata mtu mwema..

Nimekuamini.
 
Kwa majibu uliyopewa na hao wahusika nazani ushajua bom unalotaka kujibebesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sifa za mwanaume
Anaependa kusali, kabila lolote, mpambanani, awe ameajiriwa au mfanyabiashara na pia awe na rangi yoyote tu kikubwa upendo na mapenzi ya dhati.
Mbona wewe value yako Ni ndogo Ila unataka kupata value kubwa mno.chukua mwenye kulingana na thamani na wewe.
Yaani wewe Ni sawa una mchanga ama mawe halafu unataka uishirikiane na mtu mwenye dhahabu.

Yaani wewe utoe alfu kumi mie nitoe milioni eti tufungue kampuni. Wanawake muanze kutafuta thamani na nyie muongeze value kwenye uhusiano.
Kwa vile mnajua mwanaume akishatawaliwa na tamaa anashindwa kuwaza kiusahihi.
Yaani wewe sex ikishaisha ladha unabakia mmewe ama mshirika KWENYE kampuni yenu ya ndoa anakuona Kama huna thamani Tena mbele yake.


Mbona wewe umeweka sifa zako kidogo Ila ukataka mlolongo wa sifa za mwanaume umtakaye.
Ikiwezekana chukua wa viwango vyako ama nenda chini yako. Yaani mie Nina digrii niishi na wewe huna digrii,nifanye biashara napata hela wewe umekaa ,usitegemee sex ikubebe kwenye relationship,
Wakati wew Ni jobless Ila mwenzako akiwa jobless humtaki
 
Sofa zote ninazo lakini kwenye dini nimekosa sifa 😁😁😁
 
Kwani unaenda kulala na kazi ya uyo Mwanaume mbona wewe haujasema kama una kazi au Biashara yoyote?.
 
Hii Dunia Ina mambo mengi aisee, kipindi mwanamume anapambana kupata mke,dada zetu hamjitokezi!!!Akiamua kuachana na hayo mambo mnaanza kujitokeza!
 
Ungekuwa la saba sawa mimi nahitaji mke likini siyo kwa hiyo kigezo la saba kigezo cha kwanza chugua namba mbili form 4
 

Nione Pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…