CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Hawezi kupata mume anaesali zàidi ya Muislam.
MAJINI HAYO YANAKUTESA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi kupata mume anaesali zàidi ya Muislam.
Njoo kwangu kwa Babu hapa sina makuuHabari zenu,
Mimi ni binti mwenye miaka 24, natafuta rafiki, mpenzi ambae tutajenga urafiki na kama Mungu akijalia tufunge ndoa.
SIFA ZANGU
1. Mrefu maji ya kunde.
2. Nina mwili kiasi.
ELIMU
Kidato cha sita japokua nilibahatika kwenda chuo ila sikufanikiwa kumaliza kutokana na sababu za kiuchumi.
Dini: Mkristo.
Sifa za mwanaume
Anaependa kusali, kabila lolote, mpambanani, awe ameajiriwa au mfanyabiashara na pia awe na rangi yoyote tu kikubwa upendo na mapenzi ya dhati.
UMRI WA MWANAUME: MIAKA 28 up to 35
Asanteni, nitafurahi Mungu akinipa mume bora kupitia JamiiForums.
Hawezi kupata mume anaesali zàidi ya Muislam.
Wanawake tumezidi usumbufu mpaka wanaume wanatuogopaMpaka nyapu iwe lapu lapu ndiyo jamaa akatoe mahari daaah hatariiii Sana hawa vijana wa ovyo
Mbona wewe value yako Ni ndogo Ila unataka kupata value kubwa mno.chukua mwenye kulingana na thamani na wewe.Sifa za mwanaume
Anaependa kusali, kabila lolote, mpambanani, awe ameajiriwa au mfanyabiashara na pia awe na rangi yoyote tu kikubwa upendo na mapenzi ya dhati.
😀😀KwakweliKwa majibu uliyopewa na hao wahusika nazani ushajua bom unalotaka kujibebesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sofa zote ninazo lakini kwenye dini nimekosa sifa 😁😁😁Habari zenu,
Mimi ni binti mwenye miaka 24, natafuta rafiki, mpenzi ambae tutajenga urafiki na kama Mungu akijalia tufunge ndoa.
SIFA ZANGU
1. Mrefu maji ya kunde.
2. Nina mwili kiasi.
ELIMU
Kidato cha sita japokua nilibahatika kwenda chuo ila sikufanikiwa kumaliza kutokana na sababu za kiuchumi.
Dini: Mkristo.
Sifa za mwanaume
Anaependa kusali, kabila lolote, mpambanani, awe ameajiriwa au mfanyabiashara na pia awe na rangi yoyote tu kikubwa upendo na mapenzi ya dhati.
UMRI WA MWANAUME: MIAKA 28 up to 35
Asanteni, nitafurahi Mungu akinipa mume bora kupitia JamiiForums.
Nimemuambia hapo, Mimi sifa zote ninazo lakini sio hiyo dini anayoitakaIn shaa Allah ujaaliwe kupata kijana wa ndoto zako wa Kiislam.
NAKAZIAKATAA NDOA
Muache ajimix kwa ma vampier 😂😂😂😂😀😀Kwakweli
Kwani unaenda kulala na kazi ya uyo Mwanaume mbona wewe haujasema kama una kazi au Biashara yoyote?.Habari zenu,
Mimi ni binti mwenye miaka 24, natafuta rafiki, mpenzi ambae tutajenga urafiki na kama Mungu akijalia tufunge ndoa.
SIFA ZANGU
1. Mrefu maji ya kunde.
2. Nina mwili kiasi.
ELIMU
Kidato cha sita japokua nilibahatika kwenda chuo ila sikufanikiwa kumaliza kutokana na sababu za kiuchumi.
Dini: Mkristo.
Sifa za mwanaume
Anaependa kusali, kabila lolote, mpambanani, awe ameajiriwa au mfanyabiashara na pia awe na rangi yoyote tu kikubwa upendo na mapenzi ya dhati.
UMRI WA MWANAUME: MIAKA 28 up to 35
Asanteni, nitafurahi Mungu akinipa mume bora kupitia JamiiForums.
Hii Dunia Ina mambo mengi aisee, kipindi mwanamume anapambana kupata mke,dada zetu hamjitokezi!!!Akiamua kuachana na hayo mambo mnaanza kujitokeza!Habari zenu,
Mimi ni binti mwenye miaka 24, natafuta rafiki, mpenzi ambae tutajenga urafiki na kama Mungu akijalia tufunge ndoa.
SIFA ZANGU
1. Mrefu maji ya kunde.
2. Nina mwili kiasi.
ELIMU
Kidato cha sita japokua nilibahatika kwenda chuo ila sikufanikiwa kumaliza kutokana na sababu za kiuchumi.
Dini: Mkristo.
Sifa za mwanaume
Anaependa kusali, kabila lolote, mpambanani, awe ameajiriwa au mfanyabiashara na pia awe na rangi yoyote tu kikubwa upendo na mapenzi ya dhati.
UMRI WA MWANAUME: MIAKA 28 up to 35
Asanteni, nitafurahi Mungu akinipa mume bora kupitia JamiiForums.
Habari zenu,

Asanteni, nitafurahi Mungu akinipa mume bora kupitia JamiiForu
Nione PmHabari zenu,