Natafuta mume, nina miaka 24

Natafuta mume, nina miaka 24

Hello,

Mimi ni binti wa miaka 24 natafuta mume awe mtu wa makamo umri 40 mpaka 50 awe mnene kiasi sitaki mwembamba napatikana arusha sakina asiwe mfupi.

Mimi ni mweupe kiasi nina hips kiasi na pia ni mrefu kiasi ninafanya baishara nauza viatu na nguo za ndani.
Umenipata niko Arusha nafanyakazi mochuary nina kipato cha uhakika.

Ni mrefu kiasi napenda kunywa K Vant,chakula change kikuu ni majimbi na mlenda.

Elimu kidato cha 3 B na kozi fupi fupi za namna ya kuosha maiti kuuza maji na vitu vingine kwaajili ya sayansi nyeusi.

Nina uwezo wa kufanta kazi nyingine kama kuzibua vyoo,ulinzi wa usiku na nk.

Ukuje inbox kama upo serious.

Ngongo kwasasa Michuary Mt Meru.
 
Back
Top Bottom