Natafuta mume (rafiki na msiri wangu)

Natafuta mume (rafiki na msiri wangu)

Mimi ni mke
Nipo Arusha
Mfanya biashara
Umri 26
Mweupe, urefu wastani, umbo la mwanamke wa ki-Tanzania
Namuamini Mungu


Natafuta mwanaume wa vigezo
Mwanaume atakaekuwa rafki, mpnz na mume kwang
Anaependa watoto na familia kiujumla
Atakaefahamu thamani yang kwake
Mwenye kaz haswa muajiriwa serikalin au mwenye kazi ya uhalali
Awe mweusi asiwe mfupi sana
Awe muwazi mkweli na mchangamfu
Je unahitaji kuanzia miaka mingapi?
 
"umbo la mwanamke wa ki-tanzania" ndiyo lipoje? gugo imekosa majibu.

-Kaveli-
 
Haujaweka uzoefu wako, umeolewa mara ngapi? Umekuwa na michepuko mingapi? Umepiga game ngapi kavu na za condom? Una marinda au yametatuliwa? Unavuta bangi au sigara? Una kunywa pombe au la, funguka mama.
 
Dah,,hii dunia inakwenda kwa Kasi Sana,

Leo hii wanaume weusi wamekuwa deal?
 
Mimi ni mke
Nipo Arusha
Mfanya biashara
Umri 26
Mweupe, urefu wastani, umbo la mwanamke wa ki-Tanzania
Namuamini Mungu


Natafuta mwanaume wa vigezo
Mwanaume atakaekuwa rafki, mpnz na mume kwang
Anaependa watoto na familia kiujumla
Atakaefahamu thamani yang kwake
Mwenye kaz haswa muajiriwa serikalin au mwenye kazi ya uhalali
Awe mweusi asiwe mfupi sana
Awe muwazi mkweli na mchangamfu
sms nyingi za hivi huwa wanatuma wanaojifanya ni wake kumbe matapeli yaani dunia imeharibika sana
 
Sina mtoto kabsa ….ila i got experience flan inayonifanya niwaambie mwanaume anae penda watoto
Actually any as long as tunaweza kufanya maisha it’s very oky
Umejawa na tamaa.. mwanaume huyo awe handsome? Au agrly face? Six packs au kitambile? Mbo.o je iweje ndefu,fupi,bamia,nyoka au Kifutu??

Je ukikosa m.boo nzr si utafanya kolabo....

Malaya je? Unatafuta Malaya mwenzio?

Omba Mungu upate mwanaume anayejitambua(martured). Huyo nde mwenye sifa zote. Hata akiwa jobless akijitambua inatosha.

Ni kosa kufanya hivyo.... Nina maisha 20 yrs ya ndoa.. sijatafuta MTU uliyetaja... zaidi nimeomba Mungu
 
Back
Top Bottom