Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je unahitaji kuanzia miaka mingapi?Mimi ni mke
Nipo Arusha
Mfanya biashara
Umri 26
Mweupe, urefu wastani, umbo la mwanamke wa ki-Tanzania
Namuamini Mungu
Natafuta mwanaume wa vigezo
Mwanaume atakaekuwa rafki, mpnz na mume kwang
Anaependa watoto na familia kiujumla
Atakaefahamu thamani yang kwake
Mwenye kaz haswa muajiriwa serikalin au mwenye kazi ya uhalali
Awe mweusi asiwe mfupi sana
Awe muwazi mkweli na mchangamfu
Litakuwa umbo la flat screen bila shaka 😀😀😬😁😞"umbo la mwanamke wa ki-tanzania" ndiyo lipoje? gugo imekosa majibu.
-Kaveli-
Mimi nataka muhindi au mwarabu kama yupo unae mjua nipe connectionRaia wanajifanya kujicommentisha hapa,lkn huko PM wamepanga foleni [emoji41]
Vip mwanaume mwenye mtoto utampokea!!?Sina mtoto kabsa ….ila i got experience flan inayonifanya niwaambie mwanaume anae penda watoto
Actually any as long as tunaweza kufanya maisha it’s very oky
sms nyingi za hivi huwa wanatuma wanaojifanya ni wake kumbe matapeli yaani dunia imeharibika sanaMimi ni mke
Nipo Arusha
Mfanya biashara
Umri 26
Mweupe, urefu wastani, umbo la mwanamke wa ki-Tanzania
Namuamini Mungu
Natafuta mwanaume wa vigezo
Mwanaume atakaekuwa rafki, mpnz na mume kwang
Anaependa watoto na familia kiujumla
Atakaefahamu thamani yang kwake
Mwenye kaz haswa muajiriwa serikalin au mwenye kazi ya uhalali
Awe mweusi asiwe mfupi sana
Awe muwazi mkweli na mchangamfu
Mke anatafuta mume!!Mimi ni mke
Nipo Arusha
Mwanaume atakaekuwa rafki, mpnz na mume kwang
Mfanya biashara
Umri 26
Mweupe, urefu wastani, umbo la mwanamke wa ki-Tanzania
Namuamini Mungu
Mke anatafuta mume!!
Umejawa na tamaa.. mwanaume huyo awe handsome? Au agrly face? Six packs au kitambile? Mbo.o je iweje ndefu,fupi,bamia,nyoka au Kifutu??Sina mtoto kabsa ….ila i got experience flan inayonifanya niwaambie mwanaume anae penda watoto
Actually any as long as tunaweza kufanya maisha it’s very oky