Natafuta mume tuoane

Natafuta mume tuoane

Kwanini usianike picha yako watu wathamanishe?
Hilo la kwanza, la pili ni hili la sifa ya umtakaye! Kwamba aged,msomi na mkristo asiye m7to!
Mbona naona kama mzaha f'lan'iv?
Hivi unaweza ukampenda mtu toka rohoni, bila kumfahamu kwa kumuona na kupiga nae stori?
Ama ulishajikatia tamaa kwa kutendwa na washenzi, kwa hiyo sasa umeamua kumpenda yeyote tu, bila kujali sura,tabia na haiba yake, isipokuwa kwa vigezo hivyo pekee?
Ukifanikiwa nipatie mrejesho.
Picha atatumiwa baada ya kukubaliana PM.

Kupenda ni kuchagua...!!!
 
mleta mada hiii mada umeileta kuchangamsha jukwaaa au upo siriazii?.
 
Yaan una miaka 37 bado unataka wa degree?, kwani degree ndio utafutaji? Endelea kuweka vigezo mwishowe utajikuta una 50
 
Ni ngumu sana kwa tabia zako za kibaguzi kupata mme unayefikiri anakufaa na ni wa maana wakati wewe siyo wa maana.
i.e i. Awe mkristo lakini siyo msabatho
ii. Wasabatho wana masharti magumu
iii. Wasabatho wana tabia za kukera.
Pole sana kama nimekukwaza.

Kila kitu lazima uwe na vigezo au masharti.

Hata kuomba kazi kuna ubaguzi.
 
Kwanini usianike picha yako watu wathamanishe?
Hilo la kwanza, la pili ni hili la sifa ya umtakaye! Kwamba aged,msomi na mkristo asiye m7to!
Mbona naona kama mzaha f'lan'iv?
Hivi unaweza ukampenda mtu toka rohoni, bila kumfahamu kwa kumuona na kupiga nae stori?
Ama ulishajikatia tamaa kwa kutendwa na washenzi, kwa hiyo sasa umeamua kumpenda yeyote tu, bila kujali sura,tabia na haiba yake, isipokuwa kwa vigezo hivyo pekee?
Ukifanikiwa nipatie mrejesho.
Katika ndoa ambazo zinadumu, mwanaume hupenda na mwanamke hupendwa. Upendo wa mwanamke huja baadaye
 
sawa bhana dunia yako chaguo lako but 2 years aint worthy a shit! wala si dhambi if you love each other na you are both in late 30s na you both have kids.

kila kheri lakin
Ndiyo nyie mnaojiletea majanga. Huyo Englishlady anajitambua kwa kutaka mwanaume ambaye aidha wanalingana au anamzidi umri. Huyu ni mtu mzima at 37. Ni hatari ukaoa mwanamke anayekuzidi umri (huo ni umariooo tu unasumbua). Wanawake wakati fulani wana dharau hujapata ona hasa mapenzi yanapokuwa ni mazoea
 
duuh! bosi mbona una swaga za kisukuma!! huyu lady kamkataa jamaa ambaye ana miaka 35 na pia ana mtoto, yeye ana miaka 37
sasa kama jamaa akimuoa lady utasema ni umarioo!!?
mapenzi haya angalii umri bhana tena amemzidi miaka miwili!! au hujui maana ya marioo!? wabongo mnajifanyaga mnajua sana wajati ni ushamba, hakuna sehemu imeandikwa mwanaume asioe mtu alo mzidi, hata mtume alioa Khadija alo mzidi miaka 15.
umeonesha ushamba mkubwa saba be modern bas
 
Najuta hii nafasi kunikosa,vigezo vyote unavyohitaji nipo navyo,kasoro cha elimu tu(nimeishia la saba najua kusoma na kuandika).Sijui hapo utanifikiriaje mrembo!!
 
Salama wakuu wa love connect.

Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya masters.

Umbo langu ni mnene kiasi, maji ya kunde, dini mkristo mkatoliki, ninaishi dar.

Natafuta mume wa kufunga nae ndoa na kumaliza nae muda wa kuishi duaniani; awe mwenye umri kuanzia miaka 37, Mwenye elimu kuanzia chuo kikuu, asiwe mnene, rangi yoyote, mwajiriwa ama mtafutaji, anayejua umuhimu wa maisha na ndoa, mwenye kumpenda mke na atakayemkubali na kumpenda mwanangu, awe mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa msabato.

Nitampenda kwa moyo wangu wote na kuwa mwaminifu kwake.

Kwa anayekubali vigezo anakaribishwa PM tafadhali.
Eti awe na elimu ya Chuo!? Kwani ulimsomesha wewe?

Mume mwema hutoka kwa bwana na sio Chuo.
Tafakari hiyo kauri yangu japo siamini uwepo wa Mungu
 
Back
Top Bottom