tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,315
Huyu ni watatu nasoma post yake anasema hamtaki msabato sijui wasabato wana nn!!Kwanini unawakataa wasabato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni watatu nasoma post yake anasema hamtaki msabato sijui wasabato wana nn!!Kwanini unawakataa wasabato
Vijana mna ubishi sana, nina uzoefu na suala la umri katika ndoa. Mwanaume wa miaka 35 ni dogo kwa mama wa 37 ndugu tena na mtoto juu. Saizi ya huyu ni miaka kuanzia 47 na kuendelea ili heshima ndani ya nyumba iwepo Englishlady . Aidha nikuhakikishie kuwa mimi ni mshamba maana nina roots za huko shamba. Mtu ambaye hana roots za shamba (anayepaswa kuitwa mshamba) ni mtoto wa ombaomba wa mjini. Je, mwenzangu huna kizazi kinachotokea shamba ili usiitwe mshamba?duuh! bosi mbona una swaga za kisukuma!! huyu lady kamkataa jamaa ambaye ana miaka 35 na pia ana mtoto, yeye ana miaka 37
sasa kama jamaa akimuoa lady utasema ni umarioo!!?
mapenzi haya angalii umri bhana tena amemzidi miaka miwili!! au hujui maana ya marioo!? wabongo mnajifanyaga mnajua sana wajati ni ushamba, hakuna sehemu imeandikwa mwanaume asioe mtu alo mzidi, hata mtume alioa Khadija alo mzidi miaka 15.
umeonesha ushamba mkubwa saba be modern bas
Teh teh wewe jamaa kwahiyo ndoa ni kwa ajili ya papuchi tu?!!sasa ukiwa umenizidi ndo nini sasa...yani wewe jua limezama tayari bado unaona iyo miaka 2 nyingi sana..haya bhana nisionekane nimekamia sana baki na papuchi yako
Mi nina vigezo lakini sitaki tuoane, nataka nikuoe.Salama wakuu wa love connect.
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya masters.
Umbo langu ni mnene kiasi, maji ya kunde, dini mkristo mkatoliki, ninaishi dar.
Natafuta mume wa kufunga nae ndoa na kumaliza nae muda wa kuishi duaniani; awe mwenye umri kuanzia miaka 37, Mwenye elimu kuanzia chuo kikuu, asiwe mnene, rangi yoyote, mwajiriwa ama mtafutaji, anayejua umuhimu wa maisha na ndoa, mwenye kumpenda mke na atakayemkubali na kumpenda mwanangu, awe mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa msabato.
Nitampenda kwa moyo wangu wote na kuwa mwaminifu kwake.
Kwa anayekubali vigezo anakaribishwa PM tafadhali.
Mpaka 35 bado hujapata usizae?Huoni kuwa huko kuzaa nje ya ndoa ndo kunaweza kukawa kumechangia yeye kucherewa kuingia kwenye ndoa?
Mkuu sio maneno ya mkosaji haya a.k.a sizitaki mbichi hiziAngalau ulifanya la maana kuzaa, kuolewa ni majaliwa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ngoja kwanza uhakiki wa vyeti fake vya kitaaluma ukamilike.....maana usije kua unatafuta kimvuli kipya buuuuure!
Naona bado unanifikiria naogopa kuweka sifa zote kwani kwenye kuku wengi mtama ...... ila najua kupendana, njoo tulee watotoMi nina vigezo lakini sitaki tuoane, nataka nikuoe.
Mchumba wangu tayari nimekupa namba tuwasiliane umeishanipata achana na longo longo za hao
siyo kosa lako una uzamani flan hiviVijana mna ubishi sana, nina uzoefu na suala la umri katika ndoa. Mwanaume wa miaka 35 ni dogo kwa mama wa 37 ndugu tena na mtoto juu. Saizi ya huyu ni miaka kuanzia 47 na kuendelea ili heshima ndani ya nyumba iwepo Englishlady . Aidha nikuhakikishie kuwa mimi ni mshamba maana nina roots za huko shamba. Mtu ambaye hana roots za shamba (anayepaswa kuitwa mshamba) ni mtoto wa ombaomba wa mjini. Je, mwenzangu huna kizazi kinachotokea shamba ili usiitwe mshamba?