Natafuta mume tuoane

Natafuta mume tuoane

duuh! bosi mbona una swaga za kisukuma!! huyu lady kamkataa jamaa ambaye ana miaka 35 na pia ana mtoto, yeye ana miaka 37
sasa kama jamaa akimuoa lady utasema ni umarioo!!?
mapenzi haya angalii umri bhana tena amemzidi miaka miwili!! au hujui maana ya marioo!? wabongo mnajifanyaga mnajua sana wajati ni ushamba, hakuna sehemu imeandikwa mwanaume asioe mtu alo mzidi, hata mtume alioa Khadija alo mzidi miaka 15.
umeonesha ushamba mkubwa saba be modern bas
Vijana mna ubishi sana, nina uzoefu na suala la umri katika ndoa. Mwanaume wa miaka 35 ni dogo kwa mama wa 37 ndugu tena na mtoto juu. Saizi ya huyu ni miaka kuanzia 47 na kuendelea ili heshima ndani ya nyumba iwepo Englishlady . Aidha nikuhakikishie kuwa mimi ni mshamba maana nina roots za huko shamba. Mtu ambaye hana roots za shamba (anayepaswa kuitwa mshamba) ni mtoto wa ombaomba wa mjini. Je, mwenzangu huna kizazi kinachotokea shamba ili usiitwe mshamba?
 
sasa ukiwa umenizidi ndo nini sasa...yani wewe jua limezama tayari bado unaona iyo miaka 2 nyingi sana..haya bhana nisionekane nimekamia sana baki na papuchi yako
Teh teh wewe jamaa kwahiyo ndoa ni kwa ajili ya papuchi tu?!!
 
vigezo vyako nimefuzu tatizo kwa upande wangu linakuja hasa pale utakapokuwa unatumia kitwanga ndio umeshanikosa 🙁 kwa uzoefu wangu ma single parent ni walevi sijapata ona
 
Salama wakuu wa love connect.

Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya masters.

Umbo langu ni mnene kiasi, maji ya kunde, dini mkristo mkatoliki, ninaishi dar.

Natafuta mume wa kufunga nae ndoa na kumaliza nae muda wa kuishi duaniani; awe mwenye umri kuanzia miaka 37, Mwenye elimu kuanzia chuo kikuu, asiwe mnene, rangi yoyote, mwajiriwa ama mtafutaji, anayejua umuhimu wa maisha na ndoa, mwenye kumpenda mke na atakayemkubali na kumpenda mwanangu, awe mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa msabato.

Nitampenda kwa moyo wangu wote na kuwa mwaminifu kwake.

Kwa anayekubali vigezo anakaribishwa PM tafadhali.
Mi nina vigezo lakini sitaki tuoane, nataka nikuoe.
 
Mimi nina miaka 36 na miezi mitano! Vipi hiyo miezi saba ilobakia utanivumilia hadi itimie 37 kamili, miezi saba isiwe sababu ya kuvunja riski yetu ya kujivinjari kwenye kagodoro ka super banko
 
Afya status yako ikoje? Je vyeti vyako vya elimu ni OG au umekubwa na redundance? Njoo pm mm nakufaa lkn pia umpende mwanangu.
 
Wasabato hamna bahati, huu sio uzi wa kwanza kuona mdada mkiristo anatafuta mkiristo dhehebu lolote isipokua msabato.
Wasabato hamna bahati wallah[emoji23] [emoji23]
 
Vijana mna ubishi sana, nina uzoefu na suala la umri katika ndoa. Mwanaume wa miaka 35 ni dogo kwa mama wa 37 ndugu tena na mtoto juu. Saizi ya huyu ni miaka kuanzia 47 na kuendelea ili heshima ndani ya nyumba iwepo Englishlady . Aidha nikuhakikishie kuwa mimi ni mshamba maana nina roots za huko shamba. Mtu ambaye hana roots za shamba (anayepaswa kuitwa mshamba) ni mtoto wa ombaomba wa mjini. Je, mwenzangu huna kizazi kinachotokea shamba ili usiitwe mshamba?
siyo kosa lako una uzamani flan hivi
sasa unadhani heshima inakuja kwa kuzidi miaka! wangapi ni wakubwa na hawaheshimiwi, acha waone, kupendana na umri ni vitu tofauti.
nimekulia shamba pia ila naji evolve, maana hata uko shamba sku hizi hawana idea kama zako
 
Huwataki wasabato maana hawatakuruhusu

UABUDU LISANAMU LA MARIA,

UNYWE POMBE

UFANYE IBADA ZA WAFU

Unataka hao wanaume mtakaokuwa mnaenda disko na kupigia magoti masanamu na kusali rozali, na kwenda makaburini kuombea wafu .


AISEE BORA UTAFUTE WANAUME WAABUDU MASANAMU WENZIO




Hii ndio sababu kubwa huwataki wasabato,
 
Back
Top Bottom