Natafuta mume "very serious"

hauko serious asee.
umeambiwa na nani au umefundwa wapi na kuambiwa ndoa inatafutwa?! ndomana siku hizi watu wanaodumu kwenue ndoa ni 1 kati ya 10.

kizuri chajiuza kibaya kinajitembeza.
 
Thread za wanaosaka waume zimeongezeka kwa kasi sana. Anyway, usaili unaanza Lini bibie?
 
Salama ndugu yangu [emoji4]

[emoji23][emoji28][emoji23] kweli aisee, na mm najiuliza kwanini mtu afungue ID mpya while kama akija na ID yake ya siku zote ndio ingependeza zaidi,
Umeonaeee kwanza ndo anajionyesha kua yeye ni Really one .

Sasa hawa , utazan kam ni businesswoman bana.
 
Kuwa muangalifu kuna vyeti feki vya six ukakague wizarani then
 
Sifa zote Nazo,kasoro moja tu,navuta sigara
 
Ulishapata mume ?? Ndo huyo umelala nae ??
 
kiukweli wengi tunapenda wake ila hatujajipanga kiasi kwamba tunashindwa hata kuja pm sababu maisha bado hayajakaa kwenye mstari..... ila wengi wanapenda na wana mapenzi ya dhati na tupo single mie nikiwa mmojawapo..!!!
 
Mie nna sifa zote hapo kasoro moja tu!
Sina kazi wala sijaajiriwa ila mimi ni fundi majeneza, sijui ntakufaa?
 
ngoja na mimi nipitie mengi kwenye mahusiano halafu ndo nikutafute
 
Ukimkosa mwenye sifa hizo ulizozitaja mimi nifikilie
Elimu ya msingi
Dini Islam
Nimejiajiri
Nina Mke mmoja
Naishi mkoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…