bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Unatafuta papuchi au mke??? Ebu kuweni serias vijana wenzangu..! Wangu nilimtoa humu ila siyo kwa style hii..Tuwasiliane 0715446586
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatafuta papuchi au mke??? Ebu kuweni serias vijana wenzangu..! Wangu nilimtoa humu ila siyo kwa style hii..Tuwasiliane 0715446586
Mkuu huyo ndiyo Abdallah nsabiUnatafuta papuchi au mke??? Ebu kuweni serias vijana wenzangu..! Wangu nilimtoa humu ila siyo kwa style hii..
hauko serious asee.Hallow JF members,, Mimi ni msichana wa Kitanzania kwa mara ya kwanza najitokeza ktk jukwaa hili kutafuta mwanaume ambaye Mungu akijaalia Inshaallah awe mume wangu.
Sifa zangu..
Umri 28
kidini ni Muislam
Elimu bachelor degree
Kabila langu ni mzigua
Mimi sio tegemezi ni mtafutaji pia nimeajiriwa.
Situmii kilevi chochote.
Sifa za nimtakaye.
Umri 3o+
Elimu at least kuanzia form six
Awe muislam bt akiwa mkristo si mbaya coz dini tumezikuta.
Kabila lolote la ndani ya Tanzania.
Awe na upendo wa dhat.
Awe amejiajiri au ameajiriwa inshort awe na shughuli inayoeleweka ya kumuingizia kipato coz mimi pia najishughulisha.
Akiwa na mwili kidogo itapendeza napenda mwanaume mnene.
Asivute sigara wala Bangi.
Kama anakunywa basi iwe ya kistaarab.
Asiwe mume wa mtu coz sihitaji ndoa ya mitala.
Kwa mwanaume ambaye yupo serious kwa ajili ya kupata mwenza plz tuwasiliane pm.
NB
Nimepitia mengi ktk mahusiano so mpaka kufikia kuja kupost huku basi jua namaanisha kweli kutafuta mume, sidhani kama itakuwa ni busara kunipm kama haupo serious.
Umeonaeee kwanza ndo anajionyesha kua yeye ni Really one .Salama ndugu yangu [emoji4]
[emoji23][emoji28][emoji23] kweli aisee, na mm najiuliza kwanini mtu afungue ID mpya while kama akija na ID yake ya siku zote ndio ingependeza zaidi,
Unatoa namba tu haraka haraka,utakuja wapa majini namba yako ooh..0715446586
I wish ai kuludu bi an I.G.P ( magufuli voice)I wish I could be a man
Mie nna sifa zote hapo kasoro moja tu!Hallow JF members,, Mimi ni msichana wa Kitanzania kwa mara ya kwanza najitokeza ktk jukwaa hili kutafuta mwanaume ambaye Mungu akijaalia Inshaallah awe mume wangu.