[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mama humu watu wana ID's zaidi ya 7,hujaona kuna mwingine kasema kaaply kwa ID's mbili?mbona sijaona jina lako au una jina lingine
kumbe wapo hivo? asante kwa kunialart .kazi sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mama humu watu wana ID's zaidi ya 7,hujaona kuna mwingine kasema kaaply kwa ID's mbili?
Kuwa makini sana.
Hapo ni kuoana lakini mwenye sauti ni mamaKwa hiyo unataka *Akuwowe* au uataka *Umchezee*
[emoji1] [emoji1] [emoji1] anakufanyia utoto hadi unataka kuhama nchi? Kifukuze au vumilia kitaacha maana mwanaume ni mwanaume tu haya akiwa ana utoto ck akiacha tu utaona mambo mazuri sanaInategemea Nifah asee mi niko nae wa 20's mwenzangu yaani nataka kuhama nchi
Khaaa si kwa utoto toto huu...
we dada Nifah,huwa una busara sana katika michango yako Mungu Akubariki,wacha nikusifie ukiwa bado hai,pia Miss Chaga na Geniveros mko poa sana huwa mna ushauri wa kujenga sana,kila lakheri wakuuKama sikosei aliwahi kuja na thread ya kuwa ni mjamzito wa mwezi mmoja na mhusika alikataa mimba.
Au sio huyu?
Nashukuru sana mkuu.we dada Nifah,huwa una busara sana katika michango yako Mungu Akubariki,wacha nikusifie ukiwa bado hai,pia Miss Chaga na Geniveros mko poa sana huwa mna ushauri wa kujenga sana,kila lakheri wakuu