Mahali hakuna kulipa ?.Nahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.
Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua maisha ni mipango tu.
Kama una watoto wasiwe wengi na uje na dada yao tutamlipa maana mimi nimeajiriwa narudi nyumbani jioni. Ila uwe mtu mzima na akili timamu za mapenzi na maisha .Miaka 35 kwenda juu vijana sitaki kabisa
Naishi mkoa wa Dar es salaam
miaka yangu 35 sina mtoto bado
Lipia tangazo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]hasa wanaume wa kweli wazee wa kazi tumekuwa adimu sana
Umeathirika umeachwa mjane unatapatapaNahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.
Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua maisha ni mipango tu.
Kama una watoto wasiwe wengi na uje na dada yao tutamlipa maana mimi nimeajiriwa narudi nyumbani jioni. Ila uwe mtu mzima na akili timamu za mapenzi na maisha .Miaka 35 kwenda juu vijana sitaki kabisa
Naishi mkoa wa Dar es salaam
miaka yangu 35 sina mtoto bado
duu we jamaampaka chura??? na umri wako je? hebu tupia picha kuanzia mguuni hadi kiunoni
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mama mtarajiwa una mambo sana.
Ngoja nikupe ushauri kidogo...usidanganyike na umri ktk mapenzi.
Binafsi nilikuwa na imani kama yako kuwa wanaume walioko kwenye 30's ndio wenye akili timamu za maisha na mapenzi lakini baada ya kuwa nao nimegundua hawana lolote kupitia mpenzi wangu wa sasa mwenye umri chini ya miaka 30.
Labda nawe uwe kwenye miaka ya 30 ila kama ni chini ya hapo my dear ondoa hiyo mentality haraka sana.
Otherwise, all the best.
wanaume hawataki shida inabidi tujiongeze washindwe wenyewewatakuja wengi sana kwa jinsi tu ulivyo jielezea mana kuna baadhi ya watu wanapenda sana miteremko...!!!
ndio hakuna kulipa utaishi free hadi ujengeMahali hakuna kulipa ?.
Mkuu siku hizi mambo ya kutongoza mwezi mzima hatutaki, kama hivi mdada kaleta maombi mwenyewe tunachangamkiaKama nawaona vile. [HASHTAG]#vidumesuruali[/HASHTAG] tehetehe
Sasa wanaume watakuogopa! Unataka mwanaume ndio aje kwako! Sasa hapo atakuwa anaoa au anaolewa? Wanaume wengi wangependa wewe uwe tayari kuiacha nyumba yako na kwenda kwa mume hata kama anapanga chumba kimoja! Halafu hiyo nyumba yako unapangisha!kila kitu ninacho
washamezeshwa ivyo wanawake wengi ndo tatizo ilo wakati ishu ni uelewa tuu na kujitambua.Mama mtarajiwa una mambo sana.