mama mtarajiwa
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 290
- 449
- Thread starter
-
- #161
roho mbaya tu inakusumbua .kama wewe hutaki ni wewe kaa na maisha yakoKama mtu unawaza vizuri hii ni changamsha jukwaa tu hakuna mtu anayetaka mume hapa!! Ni kujichoresha tu na mtu mzima mwenye heshima zake hawezi kuja kutaka mke aliyejitangaza hapa na mkipatana ni muhuni+muhuni tu na maisha yaendelee ila sio kama mnavyowaza kwenye vichwa vyenu, mke bora humo hamna na atakayepatikana hatakuwa bora
sinaWewe huna watoto?
Nipe mamba zako tuongee kwanza.tafadhali sanaNahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.
Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua maisha ni mipango tu.
Kama una watoto wasiwe wengi na uje na dada yao tutamlipa maana mimi nimeajiriwa narudi nyumbani jioni. Ila uwe mtu mzima na akili timamu za mapenzi na maisha .Miaka 35 kwenda juu vijana sitaki kabisa
Naishi mkoa wa Dar es salaam
miaka yangu 35 sina mtoto bado
ieleweke sio lazima uishi kwangu hayo ni maamuzi yako tu .ila kama umepanga bora tukae kwangu maana ni bure hatutalipa ili tujipange
hahaha anaweza akawa kituko,akaishia kulalamika kwanini wanaume wanamkibia..hahahhahahhhah unamanisha nini kwa mfano???
wala nitamtupia hadi boxer zake barabarani hukoSema ukijua kacheat unamchoma moto,
hapanaWa mkoani hatuna nafasi!?
Njoo chemba.Mhhhhhh jamani! Nani tena huyo?
Hahahahahaaaaa niambie hata kwa codes au kama vipi nikutafute chemba [emoji39]
njo pm.Nahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.
Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua maisha ni mipango tu.
Kama una watoto wasiwe wengi na uje na dada yao tutamlipa maana mimi nimeajiriwa narudi nyumbani jioni. Ila uwe mtu mzima na akili timamu za mapenzi na maisha .Miaka 35 kwenda juu vijana sitaki kabisa
Naishi mkoa wa Dar es salaam
miaka yangu 35 sina mtoto bado
ieleweke sio lazima uishi kwangu hayo ni maamuzi yako tu .ila kama umepanga bora tukae kwangu maana ni bure hatutalipa ili tujipange
Sio ushauri mzuri bibiBibie, tafuta Kiserengeti chenye kujielewa.