Natafuta mume wa kuishi nae, nyumba ipo

Natafuta mume wa kuishi nae, nyumba ipo

Kama mtu unawaza vizuri hii ni changamsha jukwaa tu hakuna mtu anayetaka mume hapa!! Ni kujichoresha tu na mtu mzima mwenye heshima zake hawezi kuja kutaka mke aliyejitangaza hapa na mkipatana ni muhuni+muhuni tu na maisha yaendelee ila sio kama mnavyowaza kwenye vichwa vyenu, mke bora humo hamna na atakayepatikana hatakuwa bora
roho mbaya tu inakusumbua .kama wewe hutaki ni wewe kaa na maisha yako
 
kijana kama hatakiwi basi hapo pagumu. ila ucjali usipopata hapa jamiiforums jaribu Google.com wako wa kila sampuli
 
Kuna mtu atadakwa kwa hili bandiko siku c nyingi. [HASHTAG]#Systemisatwork[/HASHTAG]
 
Nahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.
Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua maisha ni mipango tu.

Kama una watoto wasiwe wengi na uje na dada yao tutamlipa maana mimi nimeajiriwa narudi nyumbani jioni. Ila uwe mtu mzima na akili timamu za mapenzi na maisha .Miaka 35 kwenda juu vijana sitaki kabisa

Naishi mkoa wa Dar es salaam
miaka yangu 35 sina mtoto bado

ieleweke sio lazima uishi kwangu hayo ni maamuzi yako tu .ila kama umepanga bora tukae kwangu maana ni bure hatutalipa ili tujipange
Nipe mamba zako tuongee kwanza.tafadhali sana
 
"ieleweke sio lazima uishi kwangu hayo ni maamuzi yakotu" unatafuta mume au hawara?
 
Nahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.
Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua maisha ni mipango tu.

Kama una watoto wasiwe wengi na uje na dada yao tutamlipa maana mimi nimeajiriwa narudi nyumbani jioni. Ila uwe mtu mzima na akili timamu za mapenzi na maisha .Miaka 35 kwenda juu vijana sitaki kabisa

Naishi mkoa wa Dar es salaam
miaka yangu 35 sina mtoto bado

ieleweke sio lazima uishi kwangu hayo ni maamuzi yako tu .ila kama umepanga bora tukae kwangu maana ni bure hatutalipa ili tujipange
njo pm.
 
Back
Top Bottom