Natafuta Mume wa kunioa

Njoo pm mama tuyajenge
 
Punguza masharti ya elimu na rangi, Kwasababu, elimu haina matumizi yoyote katika tendo la ndoa na rangi ni matokeo yanayojengwa na mazoea ya dhana fulani.
By the way, sayansi inasisitiza miaka mizuri kwa mwanamke kuzaa ni miaka 20 hadi 35 nje ya hapo unaweza ukazaa tahira ya akili. Kwahiyo, punguza masharti ili kuwa na big number of trials.
Swali langu ni kuwa kama wakijitokeza 10 waliokidhi vigezo na wewe wote hao ungependa uwe nao, Je, utatumia mbinu gani ya kumchagua mmoja tu?(Nahisi kunaweza kufanyika mapenzi kwa kila mtu ili kujua nani anakidhi mahitaji tarajiwa. Je, wewe unasemaje?).
 
Mtaani huku tunaangalia kama una Chura mengine baadae
 
Hivi mfano ukija kutaka kunioa nikakataa nikakuletea mwanamke mwingine umuoe utakubali? Tuongee uhalisia
Kwa nini nikatae?

Yaani uniletee toto linaburuza mkia jeupe limepanda mamiguu manene halafu nikatae dah nimerogwa? 😳😳😳
 
Wakubwa tumeshajua kigezo namba moja umekiweka mwisho kabisa....

Gold digger...

Nakuombea heri na mafanikio
 
Kwa nini nikatae?

Yaani uniletee toto linaburuza mkia jeupe limepanda mamiguu manene halafu nikatae dah nimerogwa? 😳😳😳
Kwahiyo ukiletewa mwanamke yoyote yule unaoa? Bora liende?
Nilidhani labda huwa mnaoa kwasababu ya mapenzi na vigezo.
 
Kwako mleta mada
Unafanya kazi/biashara gani?
Kipato chako kwa mwezi ni sh ngapi?
Una vivutio vya utalii?(tako nk.)
Ulishatoa mimba ngapi?
Bikra ya nyuma bado ipo?
Una kitambulisho cha nida?
Una barua ya utambulisho ya Serikali za mitaa?
Huna kapicha kokote ka kusindikiza uzi wako?
Ukinijibu hayo ntarudi awamu ya pili ya interview
 
Ukiwa tayari kuwa mke wa pili tafadhali nicheki pm
 
Bora umesema.

Hawa malaika wa humu wanajifanya ujuaji mwingi..😏
 
Sasa Mtu unaweza kuwa na pesa ukaoa Mwanamke was miaka 28
We tafuta mtu wa size yako unapoteza focus
 
Hivi JF Kuna waoaji kweli? Sijawahi ona shuhuda humu mtu kupata mwenza wa maisha zaida ya breakup, all the best Binti 1
 
Kupata sio tatizo, tatizo ni kumtunza. Ukishampata hana tena thamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…