Natafuta Mume wa kunioa

Natafuta Mume wa kunioa

Neva yua brooo...

Tena ukinizingua naweza kuliamsha dude ujue. Ile kesi yetu ilee inaweza ikafufuka upya ohoo! 😁
😂😂😂😂Mai BROOOO

🤣🤣 brooo usinifanyie ivooo..alafu Mimi nawewe tumetoka mbaali na hatushindwani hata kidogo..
Ngoja nikimbie usije liamsha dude buree..ilove you my brooo
 
😂😂😂😂Mai BROOOO

🤣🤣 brooo usinifanyie ivooo..alafu Mimi nawewe tumetoka mbaali na hatushindwani hata kidogo..
Ngoja nikimbie usije liamsha dude buree..ilove you my brooo
Hebu nifungulie PM chap nikunong'oneze kakitu mara moja mai dia sis 😁😁😁💪💪💪
 
Mimi ni kijana wa kike, umri wangu ni miaka 28. Mimi ni mkristo, nasali kanisa la KKKT, elimu yangu ni degree moja. Ni mweupe kiasi, sio mrefu wala sio mfupi. Natafuta mchumba ambaye natamani aje kuwa mume wangu. Awe na sifa zifuatazao.

1. Asiwe mrefu sana wala mfupi sana
2. Awe mkristo
3. Elimu iwe degree moja na kuendelea
4. Rangi yake awe maji ya kunde ya mweusi. Asiwe mweupe
5. Ajue kutafuta pesa
Hatimaye Mungu umenikumbuka na mimi maskini. Ngoja nislide kwenye PM ya huyu mrembo.
 
Kuna watu wataenda kupigwa kitu kizito, wasisahau kuleta mrejesho kwa wadau tuanze kuwashauri chakufanya 😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom