Natafuta mume

Kwi!kwi!kwi!kwi!kwi! Aisee mtafutaji umenifanya nicheke munoooo.Umenifurahisha bibie wa shortcut kwa majibu yako.
In short hauko serious na ni ambaye hayuko serious mwenzio ndio mnaweza kuendana.
Kila la heri
 
Kwi!kwi!kwi!kwi!kwi! Aisee mtafutaji umenifanya nicheke munoooo.Umenifurahisha bibie wa shortcut kwa majibu yako.
In short hauko serious na ni ambaye hayuko serious mwenzio ndio mnaweza kuendana.
Kila la heri
Unapima seriousness kwa majibu
 
Mengine tutarekebishana ...kama kanisani tutapelekana , tabia tutarekebisha
Aaahh sasa cha kukushaur niiki , mimi sio Padre ,ila amini nakuambia Kama hujawahi kukaa nakujifunza kuziishi tabia zako mwenyewe ili zikufae nakwamba zitumike kua maandalio yako yakua Mke wamtu.

..........Usitegemee jamaa aje akijua mnaanza kujenga familia alafu ndo.muanze kujengana mitabia , km unatafuta mpenzi atakayekuja kua Mume sawaaaaa....lkn km unatafuta Mwanamme, yaan jamaa anakuja kukufata akijua anakuoa ??

Angalia utaja kua Siwema, alafu jamaa aimbe,'Tabia njema ndio silaha yako Dada,, sibabaishwi na sura/kazi/elimu"..ndo hapo utajua kwann ulitakiwa kujiandaa kitabia kabla ya yote !!.
 
According to you
 
Unapima seriousness kwa majibu
Of course majibu yako yanadepict seriousness yako so kwa majibu haya automatically hitaji lako lazime liwe kiburudisho tu kwa sie wasomaji ila haina maana kuwa hawatakuja huko PM no,watakuja tu usijali
 
Kwenye rekodi zako unaonekena unapenda sana mambo makubwa maana hadi doctor unataka wa private aka wakwako peke yako kupitia kadi ya NHIF 🤣🤣
Sasa elimu na mume wapi na wapi? Eti wachaga wabahili....sasa mi nitafute hela kwa jasho we uje ukule tu kama za babako [emoji28][emoji28][emoji28]
Nenda huko huko wachaga hatutaki wanawake wa design yako..kwanza we mwenyewe ushazaa aka used.
Wanaume sahv tumepanda thamani sana we hapo weka vigezo after 2 yrs unaomba hata mpiga debe ajitokeze 🤣🤣
 
Njoo in pm tuyajenge
 
Nipo mimi
Vigezo vyangu
Uwe mrefu
Uwe na tako
Usiwe na kitambi (uwe na shape)
Uwe na nywele ndefu
Uwe na sura nzuri usiwe na chunusi
Uwe na tabia nzuri

Kama unazo hiz sifa njoo PM tuyajenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…