Bibie ushaanza kumaaliza ujana eeeeeh??😎😎Salaam kwenu.,,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]
Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.
Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26
Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm
Ahsanteni sana
Ule ujeuri wako unaishiaishia, unaanza kuwa mpole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwanini
Gari na nyumba vinatafutwa, nani kasema gari na nyumba ni kigezo cha mtu kuwa mume bora
Mshahara, ushaisha tangu siku naenda kuuchukua,[emoji3] [emoji3] , si wajua tena yale mambo ya Mangi nipe kitu Fulani na flani,ntakuona mwisho wa mwezii[emoji30]
Mshahara bana unakuja taratibuu kama Kobe ,ila unaondoka faster Kwa speed ya swala[emoji3]
Lakini brother alichomaanisha yeye Ni kwamba awe makini..Usimchanganye zeshchriss katika hili. Mitazamo yetu haikinzani na amejiona muda umefika ndio maana anatafuta mume.
Issue hii imekuja baada ya Rebeca 83 kusema 26 ni mdogo.
Acha upotoshaji kiddo
Brother umeanza lini utani na Mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]?Wacha weee, unakosewa adabu sio???
Nikifika 30s nitaelewa Nini vile?[emoji3]Me nshakusihi, hutaki subiri na wewe ufike 30s ndio utajua.
Mambo mengine sio lazima uelewe ukiwa 20s, unaweza ukaelewa vizuri ukifika 30s pia
PMSalaam kwenu.,,