Natafuta mume

Natafuta mume

Huu uzi wa linii [emoji23][emoji23][emoji23] shoga angu umepataa?
Santino hebu okota dodo hili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sijui ulichelewa wapi mpenzi, yaani mpaka nimepata majanga kupitia hii we hujafika tu
 
Salaam kwenu.,,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]

Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.

Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26

Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm

Ahsanteni sana
Bibie ushaanza kumaaliza ujana eeeeeh??😎😎
 
Usimchanganye zeshchriss katika hili. Mitazamo yetu haikinzani na amejiona muda umefika ndio maana anatafuta mume.

Issue hii imekuja baada ya Rebeca 83 kusema 26 ni mdogo.

Acha upotoshaji kiddo
Lakini brother alichomaanisha yeye Ni kwamba awe makini..
Asije akafanya tu Ili mradi kwasbu ndoa Ni taasisi kubwa..
Sidhani kama Kuna sehemu yoyote ameongea kwamba huyu mtoa Mada asitafute mwanaume.

Kosa lake liko wapi hapo?
 
Mkuu, wenye vitambi ndo umetuDiss sio![emoji134]

Unapata dhambi.
 
Mkuu, wenye vitambi ndo umetuDiss sio![emoji134]

Unapata dhambi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nitawafungulia uzi wenu msijali
 
Salaam kwenu.,,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]
Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.
Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26
Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm
Ahsanteni sana
PM
 
Back
Top Bottom