Natafuta mume

Natafuta mume

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nitawafungulia uzi wenu msijali
Mkuu, kama hutojali...nije tuonane PM...hahha...hiki kitambi utakipunguza huko mbeleni, utakuwa unanipikia Diet nzuri.
 
Mkuu, kama hutojali...nije tuonane PM...hahha...hiki kitambi utakipunguza huko mbeleni, utakuwa unanipikia Diet nzuri.
Thubutuuuuu mi mwenyewe diet siiwezi nina litumbo kama mjamzito[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Salaam kwenu.,,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]


Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.

Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26

Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm


Ahsanteni sana
Hongera huna mashart magumu
 
Back
Top Bottom