1880...Kabisa samahani wewe ni wa mwaka 1880 au 1910 sorry lakini
Nilijua tu sasa huoni mie wa 1989 au 1990 hatutaweza ongea lugha moja1880...
Ntakufundisha lugha yanguNilijua tu sasa huoni mie wa 1989 au 1990 hatutaweza ongea lugha moja
Ambayo ni ipi??Ntakufundisha lugha yangu
Leo wakuu nasemaga ukweli mie mdada mwenye upendo, heshima na msikivu, mimi sio mrefu ila mie mnene.
Natafuta ideal man wangu humu.
Awe ana sifa hizi
Ambaye ana sauti nzuri
Ambaye anadeka, ana maisha ya kizungu, asiwe mchungu awe anajua majukumu yake kama mwanaume, sio mgumu akiambiwa jambo, awe mwelewa umri wake awe 37 to 39.
Awe ana akili ya maisha asiwe tegemezi mie sipendi mwanaume anayetegemea mwanamke. Nataka ajue anategemewa yeye. Kama baba wafamilia. Ila kusaidiana kupo ila sio hela .
Karibu kama una SIFA HIZO BABe
Anhaaa pamekuchaa
We njoo utaijua ukifikaAmbayo ni ipi??
aujasema umri wako bibie ila sio kesi sana ila ungesema basi kama we mwenyew unajimudu kiuchumi au la? itasaidia kupunguza usumbufu.Wasalam vijana na wazee wa JamiiForums mie naitwa Fetty sio muislamu lakini nimwanadada ninayetafuta humu mwenzi wakutulia naye tena awe Mkristo mwenye uhitaji wa mke.
Asiwe mdogo sana au mzee sana wastani tu
Ninachopenda ni heshima /upendo/faraja/matunzo.
Siku njema
====
Mrejesho wa kutafuta mume
Mie sio mwanaumeaujasema umri wako bibie ila sio kesi sana ila ungesema basi kama we mwenyew unajimudu kiuchumi au la? itasaidia kupunguza usumbufu.
Hapo kwenye matunzo anamaanisha mwenye wallet inayopasuka. hapo kaamua kutumia tafsidaUmesahau kuandika umri wako, Pili hivi heshima ni IPI hiyo huwa mnaiongelea na matunzo unamaanisha matunzo yepi?
Wasalam vijana na wazee wa JamiiForums mie naitwa Fetty sio muislamu lakini nimwanadada ninayetafuta humu mwenzi wakutulia naye tena awe Mkristo mwenye uhitaji wa mke.
Asiwe mdogo sana au mzee sana wastani tu
Ninachopenda ni heshima /upendo/faraja/matunzo.
Siku njema
====
Mrejesho wa kutafuta mume
Hapo kwenye matunzo anamaanisha mwenye wallet inayopasuka. hapo kaamua kutumia tafsida
Umesahau kuandika umri wako, Pili hivi heshima ni IPI hiyo huwa mnaiongelea na matunzo unamaanisha matunzo yepi?
Kamilisha details umri ,shepu, kabila, kazi ndo watu waje
Subiri swali la "una watoto wangapi"?
Mbina mwandiko wa kibabe
Uzi na picha..
Ikawe kheri
Kila lakheri kwako Fetty.