Natafuta mume

Natafuta mume

Ungekuwa unataka mwanaume wa kiislamu ningekushauri subiri masela toka dubai wanakuja wapo kwenye mashua ya dp world
 
Leo wakuu nasemaga ukweli mie mdada mwenye upendo, heshima na msikivu, mimi sio mrefu ila mie mnene.

Natafuta ideal man wangu humu.

Awe ana sifa hizi
Ambaye ana sauti nzuri
Ambaye anadeka, ana maisha ya kizungu, asiwe mchungu awe anajua majukumu yake kama mwanaume, sio mgumu akiambiwa jambo, awe mwelewa umri wake awe 37 to 39.

Awe ana akili ya maisha asiwe tegemezi mie sipendi mwanaume anayetegemea mwanamke. Nataka ajue anategemewa yeye. Kama baba wafamilia. Ila kusaidiana kupo ila sio hela .

Karibu kama una SIFA HIZO BABe


Anhaaa pamekuchaa
 
Wasalam vijana na wazee wa JamiiForums mie naitwa Fetty sio muislamu lakini nimwanadada ninayetafuta humu mwenzi wakutulia naye tena awe Mkristo mwenye uhitaji wa mke.

Asiwe mdogo sana au mzee sana wastani tu

Ninachopenda ni heshima /upendo/faraja/matunzo.

Siku njema

====

Mrejesho wa kutafuta mume
aujasema umri wako bibie ila sio kesi sana ila ungesema basi kama we mwenyew unajimudu kiuchumi au la? itasaidia kupunguza usumbufu.
 
Back
Top Bottom