Natafuta mume

Natafuta mume

Nisingetoa bango
Ni sawa lakini si kwa majina halisi.. Yaani nao wana mashaka! Mimi naweza kukuamini lakini kiuhalisia wengi wamejawa na mashaka!
Kuna watu walishatangaza wako single hapa na wakapata wapenzi kumbe wenza wao wamesafiri mbali kikazi
 
[emoji3][emoji3][emoji3] pengine wako night shift vitengo nyeti

Ndo soko lake, Hakuna Kijana rijali ambaye ajaoa atapoteza mda wa kum PM mwanamke anayetafuta mwanaume online, kichaa peke yake.

Wazee wenzake wote washaoa, hao ndo watamtamani, sasa yeye alijidai hataki kuolewa wakati wa umri wake, anakuja kupangia watu.

Hata kwenye biashara hatuuzi tu kama hakuna wateja, tunabadili strategies, tunahamisha biashara au tunashusha bei.

Ukiona waume za watu tu ndo wanakufuata, tafuta limoja lisilojielewa farakanisha ndoa yake likuoe.
 
Ni sawa lakini si kwa majina halisi.. Yaani nao wana mashaka! Mimi naweza kukuamini lakini kiuhalisia wengi wamejawa na mashaka!
Kuna watu walishatangaza wako single hapa na wakapata wapenzi kumbe wenza wao wamesafiri mbali kikazi
IlA si wAmepata lakini
 
shida ndio hilo usiku watu hawapokei wakipokea
Wewe mchana wote umeshindwa kupiga simu mpaka upige usiku

Kuna manzi tuliachana same day baada ya kumpiga sound akajaa mchana tukapiga story Safi kabisa bila matatizo kumbe akawa anasubiri usiku uingie apige simu akapiga call za kawaida sikupokea mpaka WhatsApp video nikagoma kupokea

Ndio ukawa mwisho wetu huo namuuliza shida nini ooh usiku haupokei simu unakua na nani?

Maswali gani hayo kwani mchana hatuwezi kuongea mpaka tuongee usiku tu?
 
Hamjui mapenzi nyie sio waaminifu
 
Hamjui mapenzi nyie sio waaminifu
Sasa ndio uvizie usiku utake kuongea na simu yaan usiku tu ndio nataka kuongea nikupigie nataka kuongea nikupigie yaan mchana kutwa upo busy huko hupigi simu usiku unataka kupiga simu nshachoka Mimi unataka kunipigisha story zako piga asubuhi tukiamka sio usiku
 
tatizo linaanzia kwenye jina,hilo jina lilikataliwa kwenye kikao cha mwezi wa 7 Equation x hili jina si lipo ktk list?
Hilo jina inabidi akawalaumu waliompatia; lasivyo watoto wote watawalaumu wazazi wao kwa kuwapatia majina yasiyopendeza.
Ila anafaa kuwa mke, chukua chuma hicho.​
 
Back
Top Bottom