Natafuta mume

Tuwasiliane. PM
 
Ngoja kwanzaaa....
1. Baba mtoto yuko wapi?
Kama amekufa (Mungu amuweke kama yuko hai) Basi TUONYESHE KABURI LAKE?
2. Inakuaje utafute Mume ukiwa na miaka 33.
Ulikuwa wapi siku zotee?
3. Tuambie percentage ya bond kati yako na maEx wako?
4. Anyway... Maswali mengine nitauliza PM.

#YNWA
 
Hapo kwenye kigezo cha kuwa na AKILI TIMAMU kimeniondoa kwenye kinyang'anyiro
 
mzabzab nimekupatia mzunguu umuoe uende Denmark unasemaje?
 

Attachments

  • istockphoto-1441759606-612x612.jpg
    25.3 KB · Views: 13
Kigezo cha kuwa na kazi halali imenitoa ulingoni maana mm naishi kwa kubeti ambayo sio halali kimandiko
 
Dear future wife, kigezo cha umri huwez kulegeza kdogo? i am a lil bit younger..
 

CV mbona fupi?
Dini?
Familia?Watoto?
Makazi?
 
Weka picha tusaminishe..

Je unamsabwanda au mbwa kala mbwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Shida yenu mnaotafuta wenza kwenye mitandao ya kijamii huwa mnakua na sura za baba na shepu kama fidodido[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…