Hoffenheim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,077
- 2,505
Hakuna hela hakuna mapenzi. Siku nikiwa na hela nitanunua mapenzi.Nikutakie kila lenye kheri mrembo, ila nilichogundua kwenye bandiko lako................
1. Wewe si kibarua. Una kazi yako stable tu
2. Wewe sio mgeni kiviiiiile JF, yawezekana una id nyingine (Sio mbaya lakini)
3. Umesha settle na maisha sasa, ni mtaji kwa atakaekupata
Wazee mchukueni mama huyu mfurahie maisha humu duniani. Maisha ya ndoa sio mabaya kama baadhi ya watu wanavyotuaminisha kila siku, inategemea tu chemistry yenu mnaiweka vipi. Mkijuliana aaaaah maisha ni matamu sana
Siku hizi tunazalisha na tunalea watoto. Nguvu za kiume zenyewe hatuna, ni mwendo wa kuvizia