Natafuta mume

Natafuta mume

Nikutakie kila lenye kheri mrembo, ila nilichogundua kwenye bandiko lako................

1. Wewe si kibarua. Una kazi yako stable tu
2. Wewe sio mgeni kiviiiiile JF, yawezekana una id nyingine (Sio mbaya lakini)
3. Umesha settle na maisha sasa, ni mtaji kwa atakaekupata

Wazee mchukueni mama huyu mfurahie maisha humu duniani. Maisha ya ndoa sio mabaya kama baadhi ya watu wanavyotuaminisha kila siku, inategemea tu chemistry yenu mnaiweka vipi. Mkijuliana aaaaah maisha ni matamu sana
Hakuna hela hakuna mapenzi. Siku nikiwa na hela nitanunua mapenzi.
Siku hizi tunazalisha na tunalea watoto. Nguvu za kiume zenyewe hatuna, ni mwendo wa kuvizia
 
Nikutakie kila lenye kheri mrembo, ila nilichogundua kwenye bandiko lako................

1. Wewe si kibarua. Una kazi yako stable tu
2. Wewe sio mgeni kiviiiiile JF, yawezekana una id nyingine (Sio mbaya lakini)
3. Umesha settle na maisha sasa, ni mtaji kwa atakaekupata

Wazee mchukueni mama huyu mfurahie maisha humu duniani. Maisha ya ndoa sio mabaya kama baadhi ya watu wanavyotuaminisha kila siku, inategemea tu chemistry yenu mnaiweka vipi. Mkijuliana aaaaah maisha ni matamu sana
Mbona unawapa watu wengine bahati ya mtende?

Wewe ni ME au KE.. kama ni ME je wewe hauitaki?
 
Habari wana jf,

Mimi ni mwanamke wenye umri wa miaka 33. Mimi ni kibarua tu wa kiwanda fulani. Nimejitokeza jukwaa hili kutafuta life-mate partner ambaye ana uhitaji kama wangu.

Awe na akili timamu na awe shughuli halali. Umri kuaninzia 34 na kuendelea, awe muwazi na mkweli. Kwa aliye tayari karibu sana sana pm iko wazi.

Asanteni.
Njoo mammy tuyajenge....upo mkoa gani?
 
Mi sijawai amin km mtandaoni unaweza pata mtu sahihi

Km eneo la kazi, mitaa unayokaa, ulikozaliwa umekosa kupata ambako unaona matendo ya wahusika sembuse huku
Hao waliopo huko mitaani ndio hao hao waliopo humu JF
JF sio Dunia ya watu wanaoishi kwenye nchi ya peke yao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada achana na mambo ya kuolewa/ndoa hebu fanya mambo mengine tyuuh, kuna maisha nje ya hayo utakayo.
 
Back
Top Bottom