Natafuta mume

Natafuta mume

Habari wana jf,

Mimi ni mwanamke wenye umri wa miaka 33. Mimi ni kibarua tu wa kiwanda fulani. Nimejitokeza jukwaa hili kutafuta life-mate partner ambaye ana uhitaji kama wangu.

Awe na akili timamu na awe shughuli halali. Umri kuaninzia 34 na kuendelea, awe muwazi na mkweli. Kwa aliye tayari karibu sana sana pm iko wazi.

Asanteni.
Nna kibamia vipi nije?
 
Huo utitir utakao kuja Pm kuwa makini
Watu saiv wanatak kuloweka n kukimbia😀
 
Habari wana jf,

Mimi ni mwanamke wenye umri wa miaka 33. Mimi ni kibarua tu wa kiwanda fulani. Nimejitokeza jukwaa hili kutafuta life-mate partner ambaye ana uhitaji kama wangu.

Awe na akili timamu na awe shughuli halali. Umri kuaninzia 34 na kuendelea, awe muwazi na mkweli. Kwa aliye tayari karibu sana sana pm iko wazi.

Asanteni.
Nafanya ushenga moja kwa moja
 
Nikutakie kila lenye kheri mrembo, ila nilichogundua kwenye bandiko lako................

1. Wewe si kibarua. Una kazi yako stable tu
2. Wewe sio mgeni kiviiiiile JF, yawezekana una id nyingine (Sio mbaya lakini)
3. Umesha settle na maisha sasa, ni mtaji kwa atakaekupata

Wazee mchukueni mama huyu mfurahie maisha humu duniani. Maisha ya ndoa sio mabaya kama baadhi ya watu wanavyotuaminisha kila siku, inategemea tu chemistry yenu mnaiweka vipi. Mkijuliana aaaaah maisha ni matamu sana
Ila vijana mnapenda sana kutuonea wazee.
 
Here I am love, kuja kwangu tufanye uumbaji pamoja. Nimechoka kutafuta tu sipati kila siku.
 
Back
Top Bottom