NonsenseKuwa na hofu ya mungu ndo nini? Maana wewe ungekuwa na hofu hiyo ya mungu usingetafuta bwana wa kukuoa bali wewe ndo ungetafutwa. Ishi kwa Neno.
Soma walawi21:13-15
Haruhusiwi kuoa mwanamke mjane, mwanamke asiye bikira, wala kahaba. Ni lazima aoe bikira kutoka watu wake mwenyewe 15asije akawatia unajisi watoto wake mwenyewe. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu niliyemweka wakfu.”
Ndivyo ilivyo mkuu kutafutwa bwana ni kwenda kinyume na maandiko na wosia wa marehemu.
Agenda ya kuhakikisha ni kwa wale ambao wapo interested na watayajenga inbox, kwa sasa tunakichukua kile alichosema kama kilivyo.Tutahakikisha vipi?
Si kwa watoto watatuMkuu,
34 bado ni mwanamke mdogo sana, anataka upendo na sehemu ya kutuliza hisia zake. Unataka ashki zake amalizie wapi.
Nimependa ulivyomaliziaSawa
Utapata Tu
Ukikosa Ni~Check Inbox
Nilikuwa naitafuta hii comment 😹😹Hujamdedisha kweli mme wako?maana wanawake wa ugweno(Kilimanjaro)ni hatari sana Kwa waume
Je Kuna ukweli? Mimi nimeandika tu kiutaniNilikuwa naitafuta hii comment 😹😹
😹 Ngoja walioa wapare waje watoe ushuhuda.!Je Kuna ukweli? Mimi nimeandika tu kiutani
Maaaweeee!Habari za humu JF
Mimi ni mwanamke umri 34yrs naishi Dar es Salaam natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:mpare wa ugweno
Elim Digree
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Nina watoto 3 niliwahi kuolewa Ila Bahati mbaya amefariki kwa ajali ya gari, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa Kiasi Ila si sana)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi ni mrefu Kiasi(wastani)
Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 40 hadi 55 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na watoto ni Sawa nitawapenda Kama Wangu, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu dm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Hamnaga rangi inaitwa " maji ya kunde"Habari za humu JF

Hongera sana hasa kwa kudiriki kusema uko tayari kuwa mke!Habari za humu JF
Mimi ni mwanamke umri 34yrs naishi Dar es Salaam natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:mpare wa ugweno
Elim Digree
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Nina watoto 3 niliwahi kuolewa Ila Bahati mbaya amefariki kwa ajali ya gari, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa Kiasi Ila si sana)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi ni mrefu Kiasi(wastani)
Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 40 hadi 55 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na watoto ni Sawa nitawapenda Kama Wangu, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu dm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Anawatoto watatu bikira ataitoa wapi?Hamnaga rangi inaitwa " maji ya kunde"
Je wewe ni bikra?
Labda alinyunyuziwa kwa mrija akamzaa kwa operationAnawatoto watatu bikira ataitoa wapi?