Natafuta Mume

Natafuta Mume

Kuwa na hofu ya mungu ndo nini? Maana wewe ungekuwa na hofu hiyo ya mungu usingetafuta bwana wa kukuoa bali wewe ndo ungetafutwa. Ishi kwa Neno.

Soma walawi21:13-15

Haruhusiwi kuoa mwanamke mjane, mwanamke asiye bikira, wala kahaba. Ni lazima aoe bikira kutoka watu wake mwenyewe 15asije akawatia unajisi watoto wake mwenyewe. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu niliyemweka wakfu.”

Ndivyo ilivyo mkuu kutafutwa bwana ni kwenda kinyume na maandiko na wosia wa marehemu.
Nonsense
 
Utapata mwaya kikubwa dua...omba umpate aliye sahihi akupende like never before upweke mbaya sana
 
Habari za humu JF

Mimi ni mwanamke umri 34yrs naishi Dar es Salaam natafuta mwanaume wa kunioa

Sifa zangu
Trible:mpare wa ugweno
Elim Digree
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)

Nina watoto 3 niliwahi kuolewa Ila Bahati mbaya amefariki kwa ajali ya gari, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa Kiasi Ila si sana)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi ni mrefu Kiasi(wastani)

Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 40 hadi 55 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo

Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na watoto ni Sawa nitawapenda Kama Wangu, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu dm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Maaaweeee!
 
Hamnaga rangi inaitwa " maji ya kunde"
Je wewe ni bikra?
 
Mungu akusaidie upate hitaji la moyo wako
 
Habari za humu JF

Mimi ni mwanamke umri 34yrs naishi Dar es Salaam natafuta mwanaume wa kunioa

Sifa zangu
Trible:mpare wa ugweno
Elim Digree
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)

Nina watoto 3 niliwahi kuolewa Ila Bahati mbaya amefariki kwa ajali ya gari, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa Kiasi Ila si sana)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi ni mrefu Kiasi(wastani)

Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 40 hadi 55 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo

Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na watoto ni Sawa nitawapenda Kama Wangu, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu dm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Hongera sana hasa kwa kudiriki kusema uko tayari kuwa mke!
Ndoa nyingi zinashindikana kwa sababu hiyo,Mwanamke kutojua au kukataa kuwa mke,Mwanaume naye vilevile,
Ukweli ni lazima "wakutane" kwenye akili mawazo na vitendo au wengine watasema Nafsi Roho na Miili ni lazima vioane ili utokee mlipuko wa utamu wa maisha ya ndoa (Bliss).
 
Kama bado hujapata nicheki pm kwa namba yako mama. Ukinizalia na watt wengine Kama wawili ama watatu Ila tutaongea mbona utakuwa bonge la mama wangu na WA watoto wangu.
Uzuri wewe ni mtu mzima huhitaji kuufundishwa maisha
 
Back
Top Bottom